Rais Magufuli afanya mazungumzo rasmi na Rais wa Misri, Uganda na South Africa

Mkuu [HASHTAG]#Msemaukweli[/HASHTAG]
Tafadhali tuwekee ka Audio ili na sisi tuyafurahiye mazungumzo ya marais wetu wa Africa
 
Safi sana, lazima watuogope ndio nchi ambayo tunabadili viongozi wakuu wa kitaifa barani Afrika bila kumung'unya maneno. Wacha waje wajifunze.
Usisahau kwamba pia sisi ndiyo nchi inayotumia vema tume yake ya uchaguzi isiyo huru ili kupata viongozi wanaotakiwa. Hili nalo waje wajifunze.
 
4-MISRI.jpg

7.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Misri, Abdel Fattah El Sisi kabla ya kuanza mazungumzo yao katika moja ya Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
8..jpg

8.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi mara baada ya kumaliza mazungumzo yao .
9.jpg

Rais John Pombe Magufuli na Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi wakitoka kwenye chumba cha mazungumzo baada ya mazungumzo.
12.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza mazungumzo yao katika moja ya Ofisi za AU mjini Addis Ababa Ethiopia.
13.jpg

Rais John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza mazungumzo yao rasmi katika moja ya Ofisi za AU mjini Addis Ababa Ethiopia.
2.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma mara baada ya kuwasili kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa.
3.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma mara baada ya kumaliza mazungumzo yao

Wametumia lugha ipi
 
Ahsant Mkulu kwa kuiletea heshma Tanzania na naamin wpo Maraisi wengi ambaowanatamani kfanya mazungu na yy
 
Mkuu,,, mbona unataka kuwaua UKAWA na kale ka page ka tanzagiza kwa presha?
 
..achaneni na mambo ya vyama.

..waTz tunapaswa kujua mazungumzo hayo yalihusu nini?

..kipindi cha mwisho wa utawala wa JK Misri walijaribu kutushawishi tusiridhie makubaliano mapya ya nchi zilizo ktk bonde la mto Nile.

..kwa hiyo isije ikawa Misri wanatafuta namna ya kuishawishi Tz kubadili msimamo wake wa awali.
 
Back
Top Bottom