Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,359
- 5,599
Uzuri wa mazungumzo haya ni kwamba yalikutanisha watu wasio native English speakers. So wanaelewa changamoto ya kuzungumza lugha isiyo yao.
Teeeh! Teeeh hapakuwa na maelewano hapo ndio maana hakuna mrejesho