Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 752
Nchi imemushinda urais haugombei tu kwa bahati mbaya,watu waliofanikiwa kuwa marais na wakafanya vizuri waliingia wakiwa na agenda na mipango ya muda mrefu Huyu ameingia kwa bahati mbaya akiwa hana AGENDA...hivyo hata hawa wanaomsfia utafika wakati wataelewa tu kwani uchumi unashuka kwa kasi kubwa...