Rais kutoa million 20 kwa wasindikizaji wa mgeni ni rushwa au ni malipo kwa kaz hiyo??

Kuna watu wanasema miaka mitano sio mingi, hawa wanaishi mijini. Yapo mengi sana yanayoendelea huko vijijini, kuna miradi mingi sana inazinduliwa.

Hivyo ikifika 2020 hawa wanaofaidika kupitia hii miradi ambao pia ni wengi kwa idadi, hawatakuwa na fikra sawa na hawa wanaodai miaka mitano sio mingi.

Kuna tofauti kubwa ya mahitaji ya mtu wa Lindi na mtu wa kinondoni. Kuna tofauti kubwa ya mahitaji ya mtu wa Songea au Dodoma kulinganisha na mahitaji ya mtu wa Mbagala au Temeke.
 
Baada ya pita pita huku na kule nimepata habari hii ya rais kuwazawadia wasindikizaji wa waziri mkuu wa ethiopia kwa kupewa sh million 20. je pesa hii ni hongo au ni ujira kwa wasindikizaji?? Kama ni ujira ina maana siku zote wasindikizaji hupewa pesa pesa na mimi kesho nikapange foleni niache kaz zangu. Kama sio ujira ni hongo ili na kesho waje wengi rais anatufundisha nini wananchi wake?? Je kila macho na masikio tuwe tunaulizia ratiba za wageni ili tukajipatie ujira?? Na kama siku hiyo ijayo hatawalipa wahudhuliaji wakidai pesa itakua kosa??

Pia kitendo cha kumpa mkuu wa mkoa ina maana wageni sahiz wanapitia kwa mkuu wa mkoa?? Je waziri wa mambo ya ndani ana nafasi gani hapo?? Au ndio kumpa kiki bashite aonekane anakubalika kwa kugawa pesa zilizo toka kwa rais?? Kwa sasa mkuu wa mkoa ndio mkono wa kuume wa rais wetu??

Watanzania wenzangu kwa sasa ni mwendo wa kuvizia wageni tukagawane hela za taifa kama njugu!!
Yani sijaona ulichokiandika cha maana zaidi ya kuonesha wivu mhe rais anaweza toa zawadi kama ameona ajira,kodi nk inapatikana kupitia uwekezaji wao,cha msingi acha umbea na wekeza na wewe
 
Kweli we bogus,atoe Zawadi mbona madawa hospitalin hakuna? Atoe Zawadi na zile million 50 kwa kila kijiji mbona hamna?atoe Zawadi maji yanapatikana kwa shida. Atoe Zawadi hatimizi majukumu yake ipasavyo we umewaza kwa kutumia visigino au makalio??
 
Baada ya pita pita huku na kule nimepata habari hii ya rais kuwazawadia wasindikizaji wa waziri mkuu wa ethiopia kwa kupewa sh million 20. je pesa hii ni hongo au ni ujira kwa wasindikizaji?? Kama ni ujira ina maana siku zote wasindikizaji hupewa pesa pesa na mimi kesho nikapange foleni niache kaz zangu. Kama sio ujira ni hongo ili na kesho waje wengi rais anatufundisha nini wananchi wake?? Je kila macho na masikio tuwe tunaulizia ratiba za wageni ili tukajipatie ujira?? Na kama siku hiyo ijayo hatawalipa wahudhuliaji wakidai pesa itakua kosa??

Pia kitendo cha kumpa mkuu wa mkoa ina maana wageni sahiz wanapitia kwa mkuu wa mkoa?? Je waziri wa mambo ya ndani ana nafasi gani hapo?? Au ndio kumpa kiki bashite aonekane anakubalika kwa kugawa pesa zilizo toka kwa rais?? Kwa sasa mkuu wa mkoa ndio mkono wa kuume wa rais wetu??

Watanzania wenzangu kwa sasa ni mwendo wa kuvizia wageni tukagawane hela za taifa kama njugu!!
Ukiwa n.a. mpenzi wako kuna kale kafeeling unaskia kwa maskio kanakwambia just do it ili aone unamcare
 
Kuna watu wanatapatapa sana. Wakimuona makonda anatimiza wajibu wake wanaweweseka sana. Nawaambieni tu pigeni kazi zenu.. Mtu anapokuwa kwenye kutimiza majukumu yake mwache..kama ni swala la cheti hoji kihalali sio unaingiza kwenye mambo ya msingi kama taifa. Mkuu wa makoa ni mwakirishi wa rais katika mkoa. Anayo mamlaka ya kujua vitu vyote vinanyo endelea ndani ya mkoa pia.
 
Tulipata hasara kubwa kwakweli...next time tuchague watu timamu
 
Baada ya pita pita huku na kule nimepata habari hii ya rais kuwazawadia wasindikizaji wa waziri mkuu wa ethiopia kwa kupewa sh million 20. je pesa hii ni hongo au ni ujira kwa wasindikizaji?? Kama ni ujira ina maana siku zote wasindikizaji hupewa pesa pesa na mimi kesho nikapange foleni niache kaz zangu. Kama sio ujira ni hongo ili na kesho waje wengi rais anatufundisha nini wananchi wake?? Je kila macho na masikio tuwe tunaulizia ratiba za wageni ili tukajipatie ujira?? Na kama siku hiyo ijayo hatawalipa wahudhuliaji wakidai pesa itakua kosa??

Pia kitendo cha kumpa mkuu wa mkoa ina maana wageni sahiz wanapitia kwa mkuu wa mkoa?? Je waziri wa mambo ya ndani ana nafasi gani hapo?? Au ndio kumpa kiki bashite aonekane anakubalika kwa kugawa pesa zilizo toka kwa rais?? Kwa sasa mkuu wa mkoa ndio mkono wa kuume wa rais wetu??

Watanzania wenzangu kwa sasa ni mwendo wa kuvizia wageni tukagawane hela za taifa kama njugu!!
Majungu tu.Habari za kwenye kahawa hizi
 
Back
Top Bottom