Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Baada ya kuitwa kwa wahariri wa vyombo vya habari ikulu, kuna kila dalili kwamba baraza jipya la mawaziri litatangazwa hivi punde. Wale walioko karibu na tv mnaweza kutune on
 
mbunge mwingine kateuliwa anaitwa Saada Mkuya(hope sijakosea jina) source:TBC1 sasa hivi
 
Usitumie saa za huku tulikojilipua, mimi huku ni saa saba usiku, lakini nasubiri saa 10 kwa saa za Africa Mashariki.
 
Hamna aliyedharauliwa...watu tumezoea kulalamika sana. Tunataka serikali itufanyie kila kitu, wakati kwa hali ya kawaida haiwezekani!! Hata leo hawa mavuvuzela wa CDM wakiingia madarakani, hawawezi kufanya chochote. Mimi siku zote huwa nahamasisha ufanyaji kazi kwa bidii na kwa nguvu zote. kwa kujituma, kila kitu kinawezekana!!

tunafanya kazi kwa bidii na nguvu zote hata ccm wanaiba kwa bidii na nguvu zote..!
 
Hamna aliyedharauliwa...watu tumezoea kulalamika sana. Tunataka serikali itufanyie kila kitu, wakati kwa hali ya kawaida haiwezekani!! Hata leo hawa mavuvuzela wa CDM wakiingia madarakani, hawawezi kufanya chochote. Mimi siku zote huwa nahamasisha ufanyaji kazi kwa bidii na kwa nguvu zote. kwa kujituma, kila kitu kinawezekana!!

Ungehamasisha hayo unayodai hapa kwa vitendo usingekuwa ccm!
 
Hamna aliyedharauliwa...watu tumezoea kulalamika sana. Tunataka serikali itufanyie kila kitu, wakati kwa hali ya kawaida haiwezekani!! Hata leo hawa mavuvuzela wa CDM wakiingia madarakani, hawawezi kufanya chochote. Mimi siku zote huwa nahamasisha ufanyaji kazi kwa bidii na kwa nguvu zote. kwa kujituma, kila kitu kinawezekana!!
Hakuna anayekulalamikiwa we Bewge unayejipendekeza
 
mimi hapa naona Kiduku tu!!
kama vile naangalia harusi ya Uswazi ya kufunga mtaa.

kama hivi!!..........what you know best!!
2.JPG

Mbembwe nyiiiiiiiiingi afu badae wanarudi mabondeni kuendelea kuteseka manake kule ndo wanaishi wengi.... Mashabiki wa CCM bana!!
 
kama uko mbali na runinga hebu sogea karibu muda mfupi ujao tutakuwa ikulu mambo yaliyosubiriwa sasa kuwekwa wazi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom