mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,446
- 988
Ukweli ambao wengi hawakuuona kwenye wimbo was Ney kulikuwa na moto wa chini kwa chini nadhani Rais japokuwa hapangiwi hapo alishauliwa vyema kuna dhulma na kuminywa kwingi kwa haki za watu na sasa walielekea kuminya haki za waganga njaa nadhani wote tunajua joto walilonalo vijana tangu kwenye kampeni ya madawa ya kulevya mpaka katika kashfa ya bashite ambayo haijapatiwa ufumbuzi.