OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,547
- 116,506
Ubaya wa Nyumbu wanahubiri Magufuli afuate kanuni na taratibu za nchi lakini wao chadema hawafuati kanuni wala utaratibu wowote wa bunge..Haaah haaaaah ama kweli bunge limevamiwa awamu hii, kuna jitihada la kuligeuza kuwa baraza la mawaziri badala ja chombo cha kusimamia na kuisema serikali. Unaambiwa kanuni haziruhusu kumsema Rais pale bungeni, labda kama unataka kumpongeza ''Rais mwema''.
Kule Brazil na hata ndugu zetu wa South Africa wabunge wao walifikia hatua ya kumwajibisha rais kwa makosa ya kutumia madaraka vibaya. Sasa hapa Bongo ''Tanzania ya Magufuli'' tunawezaje kumdhibiti rais asitumie madaraka vibaya kama wawakilishi wetu kina G.Lema wanakatazwa rais asisemwe vibaya?
Mwenye picha ya Lugumi atuwekee, wengine hatumfahamu!!!!!!!!
Jibu hoja au kama unatetea jenga hoja sio unaleta msutano hapa,kwani hao Chadema wapi wamekataa kuongelewa mabaya yao ............... tunambiwa bungeni si mahali pa kumuongelea vibaya rais ila kama unamtaja kwa mazuri ni ruksa je wewe unaonaje ............ toa maoni yako hutaki pita kimya.Ubaya wa Nyumbu wanahubiri Magufuli afuate kanuni na taratibu za nchi lakini wao chadema hawafuati kanuni wala utaratibu wowote wa bunge..
Ni kuzomea mwanzo mwisho.
Jaribuni kuwa watu wazima basi
Hiyo ni kanuni ya bunge ilitungwa na bunge na siyo mawazo binafsi ya spikaJibu hoja au kama unatetea jenga hoja sio unaleta msutano hapa,kwani hao Chadema wapi wamekataa kuongelewa mabaya yao ............... tunambiwa bungeni si mahali pa kumuongelea vibaya rais ila kama unamtaja kwa mazuri ni ruksa je wewe unaonaje ............ toa maoni yako hutaki pita kimya.
mkuu,nimeku pm!naomba mrejeshoAma kweli bunge limevamiwa awamu hii, kuna jitihada la kuligeuza kuwa baraza la mawaziri badala ja chombo cha kusimamia na kuisema serikali. Unaambiwa kanuni haziruhusu kumsema Rais pale bungeni, labda kama unataka kumpongeza ''Rais mwema''.
Kule Brazil na hata ndugu zetu wa South Africa wabunge wao walifikia hatua ya kumwajibisha rais kwa makosa ya kutumia madaraka vibaya.
Sasa hapa Bongo ''Tanzania ya Magufuli'' tunawezaje kumdhibiti rais asitumie madaraka vibaya kama wawakilishi wetu kina G.Lema wanakatazwa rais asisemwe vibaya?
Mwenye picha ya Lugumi atuwekee, wengine hatumfahamu!!!!!!!!
Tatizo wabunge wa ndiyooooo ni wengi kuzidi wabunge wanaotetea maslahi ya nchi, uzuri wanaotumbuliwa ni wao wenyewe wanaojipendekeza
Ni katika kukumbushana tuarudishe nyumba za serikali ili walimu wapate pa kuishi.
swissme
Je, wewe unaionaje iko poa tumuongelee kwa mazuri tu mabaya yake tusiyaongee ............ (na bila shaka imepita kwa wingi walionao sisiemu)Hiyo ni kanuni ya bunge ilitungwa na bunge na siyo mawazo binafsi ya spika
nabadoUbaya wa Nyumbu wanahubiri Magufuli afuate kanuni na taratibu za nchi lakini wao chadema hawafuati kanuni wala utaratibu wowote wa bunge..
Ni kuzomea mwanzo mwisho.
Jaribuni kuwa watu wazima basi
pumba tupu in serious thingsNi katika kukumbushana tu
Mwenye sera na mamlaka ya kuuza/aliyeuza nyumba za serikali kwa sasa mko naye KAMATI KUU YENU CHADOMO...ni muda muafaka kumuuliza alifanyaje kupitisha hiyo sera....mumuvue nguo hukohuko sisi hatuna shida naye kwa sasa
Eti broo, kwani anayechukua hatua dhidi ya waliofisadi nchi ni Chadema au Serikali ............. maana kama anajulikana ni nani kipi kinakuwa kizito kukiamua ????Ni katika kukumbushana tu
Mwenye sera na mamlaka ya kuuza/aliyeuza nyumba za serikali kwa sasa mko naye KAMATI KUU YENU CHADOMO...ni muda muafaka kumuuliza alifanyaje kupitisha hiyo sera....mumuvue nguo hukohuko sisi hatuna shida naye kwa sasa
Na bado nini?nabado