Rais fukuza hawa, au wajiuzuru wenyewe

Yani Steve ndo kajiharibia kabisa yani. Bora angekanusha ile sauti sio yake tehe tehe
Sasa ngoja wanasheria wamfungulie kesi za kufanya usaniii kupitia majina ya watu ndipo atapata Akili na hizo njaa zake atazijutia baadae ingawa anajipa moyo kuwa wema ataamua kumwacha.
 
Ni aibu kuu ktk utawala huu wa awamu ya tano kuambiwa eti " Ni usanii kuwataja viongozi wetu wa serikali vipi kama tungekuwa na Rais wa kuchukua maamzi haraka tungeambiwa ni usanii?".

Sasa imedhihirika ni kweli ile Audio ni ya Mama Wema Sepetu na Steve Nyerere.

Usanii ktk mambo ya kitaifa?
Usanii ktk maisha ya watu?
Usanii kuihusanisha serikali na utetezi wa wanaotuhumiwa kwa madawa ya kulevya?

Tunaomba kama Taifa, Steve Nyerere achukuliwe hatua kali, ikiwezekana anyongwe Hakuna namna.

Unamtaja Makamu wa Rais mama Samia Suluhu kwa usanii wa mambo ya kitaifa? Kwa mambo ya madawa ya kulevya?

Unamtaja Mwigulu Nchemba?
Unamtaja Nape Nnauye?
Uachwe eti ilikuwa usanii?

Hii serikali sasa inaguswa pabaya, ichukue hatua dhidi ya hawa wote walotajwa.

Nitashangaa sana Mwigulu na Nape kuachwa.
Wanapaswa kujiuzulu Au Rais atengue uteuzi wao. Awafukuze kazi.

Labda kama Vita ya madawa ya kulevya ilikuwa ni propaganda. Usanii.

Lakini kama ilikuwa ni vita serious, Basi Rais anatakiwa achukue hatua haraka za kuwawajibisha ma waziri hao na Makamu wake.

Ni kashfa kubwa sana.
Ni doa sana kwa Serikali ya awamu ya tano.

Nasubiri wajiuzulu au wafukuzwe wote walotajwa.
kwa hiyo na mimi leo nikiongea na bi chau nikasema mawaziri wote,wakuu wa mikoa wotena wa wilaya wote wameusika ishu ya madawa kwahyo utamtaka rais awafukuze au wajiuzulu? basi hii itakuwa nchi ya waufalme wa juha
 
We upo lindi vijijin huko mambo ya lumumba utayajulia wapi blaza

Endelea kula ugali wa bure kwa samaki nchanga

Muacheni JK apumzike, msimuhusishe na vitu vya ajabu
Unafahamu kama Magufuli ndiyo mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi? Au mnajiandikia tu?[/QUOTE]
 
Makonda yupo ikulu wanasaidiana kuandaa baraza jipya la mawaziri lenye watu wengi wenye roho ngumu kama kigwangala na huenda Waziri wa mambo ya ndani akawa mtu mwenye roho kama ya Mali ya mungu enzi za idd Amini hapa Uganda.
 
Alichokiongea steve kwa mama wema ni ukweli. Alichokiongea kwenye media ni uongo uliotukuka. Kama tuna wanasheria, kesi hiyo hapo.
GENTAMYCINE
 
Ni aibu kuu ktk utawala huu wa awamu ya tano kuambiwa eti " Ni usanii kuwataja viongozi wetu wa serikali vipi kama tungekuwa na Rais wa kuchukua maamzi haraka tungeambiwa ni usanii?".

Sasa imedhihirika ni kweli ile Audio ni ya Mama Wema Sepetu na Steve Nyerere.

Usanii ktk mambo ya kitaifa?
Usanii ktk maisha ya watu?
Usanii kuihusanisha serikali na utetezi wa wanaotuhumiwa kwa madawa ya kulevya?

Tunaomba kama Taifa, Steve Nyerere achukuliwe hatua kali, ikiwezekana anyongwe Hakuna namna.

Unamtaja Makamu wa Rais mama Samia Suluhu kwa usanii wa mambo ya kitaifa? Kwa mambo ya madawa ya kulevya?

Unamtaja Mwigulu Nchemba?
Unamtaja Nape Nnauye?
Uachwe eti ilikuwa usanii?

Hii serikali sasa inaguswa pabaya, ichukue hatua dhidi ya hawa wote walotajwa.

Nitashangaa sana Mwigulu na Nape kuachwa.
Wanapaswa kujiuzulu Au Rais atengue uteuzi wao. Awafukuze kazi.

Labda kama Vita ya madawa ya kulevya ilikuwa ni propaganda. Usanii.

Lakini kama ilikuwa ni vita serious, Basi Rais anatakiwa achukue hatua haraka za kuwawajibisha ma waziri hao na Makamu wake.

Ni kashfa kubwa sana.
Ni doa sana kwa Serikali ya awamu ya tano.

Nasubiri wajiuzulu au wafukuzwe wote walotajwa.
Hasa Mwingulu, anamhujumu sana JPM... ndie aliemtonya Ben Saanane kuhusu mkakati wa kukamatwa na akampa mbinu za kutoroka.
 
Ni aibu kuu ktk utawala huu wa awamu ya tano kuambiwa eti " Ni usanii kuwataja viongozi wetu wa serikali vipi kama tungekuwa na Rais wa kuchukua maamzi haraka tungeambiwa ni usanii?".

Sasa imedhihirika ni kweli ile Audio ni ya Mama Wema Sepetu na Steve Nyerere.

Usanii ktk mambo ya kitaifa?
Usanii ktk maisha ya watu?
Usanii kuihusanisha serikali na utetezi wa wanaotuhumiwa kwa madawa ya kulevya?

Tunaomba kama Taifa, Steve Nyerere achukuliwe hatua kali, ikiwezekana anyongwe Hakuna namna.

Unamtaja Makamu wa Rais mama Samia Suluhu kwa usanii wa mambo ya kitaifa? Kwa mambo ya madawa ya kulevya?

Unamtaja Mwigulu Nchemba?
Unamtaja Nape Nnauye?
Uachwe eti ilikuwa usanii?

Hii serikali sasa inaguswa pabaya, ichukue hatua dhidi ya hawa wote walotajwa.

Nitashangaa sana Mwigulu na Nape kuachwa.
Wanapaswa kujiuzulu Au Rais atengue uteuzi wao. Awafukuze kazi.

Labda kama Vita ya madawa ya kulevya ilikuwa ni propaganda. Usanii.

Lakini kama ilikuwa ni vita serious, Basi Rais anatakiwa achukue hatua haraka za kuwawajibisha ma waziri hao na Makamu wake.

Ni kashfa kubwa sana.
Ni doa sana kwa Serikali ya awamu ya tano.

Nasubiri wajiuzulu au wafukuzwe wote walotajwa.
Labda katiba hujui kumfukuza makamu maana yake ni kujifukuza na kurudi kwenye uchaguzi.

Mwigulu vyeti feki inatosha kumfuta Kazi lakini kauli za Nyerere feki zamhusu nini?

Nape hawezi kuwajibishwa kwa majungu ya Nyerere feki. Hearsay will always qualify for futility and nothing more.

Tukianza kuwajibishana kwa kutuhumiwa tu bila ushahidi Wa kutuhusisha moja kwa moja itakuwa ni vurugu wala siyo utawala bora.
 
Back
Top Bottom