Rais Duterte apiga mkwara mzito asema nitaichoma moto umoja wa mataifa endapo nikienda USA

Binafsi namuelewa sana Duterte! Kuendelea kuwakumbatia wamagharibi kutazidi kuathiri zaidi nchi yake kiuchumu, westerners walikuwa wameishaifanya Phillipines kuwa nchi ya kwenda kufanya sex tourism na watoto wadogo wa kifilipino huku economically nchi ikiendelea kuachwa mbali kiuchumi na nchi jirani za ukanda wake zikiwepo zisizofungamana na sera za kujipendekeza kwa wamagharibi.

Wanyooshe hao DUTERTE!!
 
Back
Top Bottom