habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,743
Ha ha ha ha Duu! Lkn wenzio wanatumiaga hiz hiz za kwetu kufanikisha yao, jaribu uoneKweli mkuu, I wish na sie akinababa tungelikuwa na hijabu zetu tusingenyoa ndevu wala kupaka mafuta au kwenda salon kujikwangua ili tuonekane warembo sorry handsome. Unatwanga hijab mambo yote tisa