Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Kuna uzoefu wa urais?
Mkuu... nchi zina tawala tofauti.. mila, tamaduni na desturi na jamii tofauti... uzoefu upi anao hitaji kwani labda.Wakuu mtakubaliana na mimi kuwa toka rais wetu aapishwe, hajawahi kutoka nje ya bara letu la Afrika.
Ninaelewa kuwa rais kwa kipindi chote hicho amekuwa na kazi nzito ya kusafisha uozo wa serikali zilizopita hasa ukizingatia operesheni yake ya kutumbua majipu.
Lakini pia ifahamike kuwa kama rais ni vema pia akapata nafasi ya kukutana na marais wenzake katika kubadilishana uzoefu wa kiuongozi. Ninachojua ni kwamba hakuna mtu ambaye amekamilika na wakati mwingine tunahitaji pia kujifunza kutokana na mazuri ya wenzetu.
Sasa basi ni lini rais ataamua kwenda kupata uzoefu zaidi wa kiuongozi kutoka kwa marais wenzake?
Nawasilisha.
Lugha ya wafadhiliWakuu mtakubaliana na mimi kuwa toka rais wetu aapishwe, hajawahi kutoka nje ya bara letu la Afrika.
Ninaelewa kuwa rais kwa kipindi chote hicho amekuwa na kazi nzito ya kusafisha uozo wa serikali zilizopita hasa ukizingatia operesheni yake ya kutumbua majipu.
Lakini pia ifahamike kuwa kama rais ni vema pia akapata nafasi ya kukutana na marais wenzake katika kubadilishana uzoefu wa kiuongozi. Ninachojua ni kwamba hakuna mtu ambaye amekamilika na wakati mwingine tunahitaji pia kujifunza kutokana na mazuri ya wenzetu.
Sasa basi ni lini rais ataamua kwenda kupata uzoefu zaidi wa kiuongozi kutoka kwa marais wenzake?
Nawasilisha.
Tanzania mna kitu gani cha kujifunza?labda ufisadi tuKwa nini wao wasije kupata huo uzoefu ambao hujausema?
Ivi,ulaya ndo sehemu pekee ya viongozi kupata uzoefu? Kumbuka Tanzania hatukuchagua rais wa kujifunza kazi,bali rais anayejua kazi. Urais si lelemama na ndo maana huyo wa kwenu legelege alikataliwa na wananchi kumbe mlitepemea kumpeleka ulaya akapate uzoefu? Mmeanza kujiumbua kwani yule babu alionekana tu kuwa urais haumtoshi angeharibu.Wakuu mtakubaliana na mimi kuwa toka rais wetu aapishwe, hajawahi kutoka nje ya bara letu la Afrika.
Ninaelewa kuwa rais kwa kipindi chote hicho amekuwa na kazi nzito ya kusafisha uozo wa serikali zilizopita hasa ukizingatia operesheni yake ya kutumbua majipu.
Lakini pia ifahamike kuwa kama rais ni vema pia akapata nafasi ya kukutana na marais wenzake katika kubadilishana uzoefu wa kiuongozi. Ninachojua ni kwamba hakuna mtu ambaye amekamilika na wakati mwingine tunahitaji pia kujifunza kutokana na mazuri ya wenzetu.
Sasa basi ni lini rais ataamua kwenda kupata uzoefu zaidi wa kiuongozi kutoka kwa marais wenzake?
Nawasilisha.
Wakuu mtakubaliana na mimi kuwa toka rais wetu aapishwe, hajawahi kutoka nje ya bara letu la Afrika....
Sasa basi ni lini rais ataamua kwenda kupata uzoefu zaidi wa kiuongozi kutoka kwa marais wenzake?
Nawasilisha.
Mawazo gani sasa, akienda tu mtaanza kulalama.. Sijui mtendewe nini JamaniKubadilishana mawazo na viongozi wenzie.
Watu hawa wenye kulaumu kila jambo ni sawa na wana wa Israel wakitoka misri walilaumu mpaka ghadhabu ya Mungu ikawaka juu yao.. Kila jambo hawa wapinzani ni kupinga tu..watu wenginr bwana ,JK mlimwita Vasco dagama,sasa mmepata Raisi asiyependa kusafiri ili kubana matumizi napo mnalalamika,jamani hivi nyie ni wa kubebea mbelelo ipi?
Mkuu umeongea point sana lakini unaharibu unapoweka uvyama kwa kudhihaki afya ya mtu. Si vyema mkuu, Point yako ilijitosheleza bila kuhusisha afya ya mtu mwingine.Ivi,ulaya ndo sehemu pekee ya viongozi kupata uzoefu? Kumbuka Tanzania hatukuchagua rais wa kujifunza kazi,bali rais anayejua kazi. Urais si lelemama na ndo maana huyo wa kwenu legelege alikataliwa na wananchi kumbe mlitepemea kumpeleka ulaya akapate uzoefu? Mmeanza kujiumbua kwani yule babu alionekana tu kuwa urais haumtoshi angeharibu.
...ukweli ni kuwa hao unaowaita wenzake wa huko Ulaya ndio wamepanga kuja kujifunza kwake. Magufuli has pioneered the new Africa political leadership model.Wakuu mtakubaliana na mimi kuwa toka rais wetu aapishwe, hajawahi kutoka nje ya bara letu la Afrika.
Ninaelewa kuwa rais kwa kipindi chote hicho amekuwa na kazi nzito ya kusafisha uozo wa serikali zilizopita hasa ukizingatia operesheni yake ya kutumbua majipu.
Lakini pia ifahamike kuwa kama rais ni vema pia akapata nafasi ya kukutana na marais wenzake katika kubadilishana uzoefu wa kiuongozi. Ninachojua ni kwamba hakuna mtu ambaye amekamilika na wakati mwingine tunahitaji pia kujifunza kutokana na mazuri ya wenzetu.
Sasa basi ni lini rais ataamua kwenda kupata uzoefu zaidi wa kiuongozi kutoka kwa marais wenzake?
Nawasilisha.
Umeeleweka ndugu. Lakini kama hujaandika kiushabiki wa kisiasa, ujue kuwa hata rais ana ratiba yake. Na hao wa Ulaya wana ratiba zao. Safari za marais siyo issue za kwenda kwa waganga wa kienyeji. Kama huko nje wana vyuo vikuu vya mafunzo ya urais wasubiri tu.Wakuu mtakubaliana na mimi kuwa toka rais wetu aapishwe, hajawahi kutoka nje ya bara letu la Afrika.