Rais anapoongeza 'chumvi' kueleweka kwa wananchi

Zomeazomea ya wananchi wa shy kuhusu kupunguza bil ya maji,huku jpm akidai kama bil ni ndogo kuliko miji mingine,yeye ataipandisha,pale mhandis wa maji alipofafanua ikaonekana bil ni ndo wananch wakabisha kuongezewa bil bal iliyopo ipungue,ilibid rais awe mpole akapiga siasa,wazir wa maji atamleta.Kumbe mkimpinga waziwaz ananywea.Watu wanakagera walipomnyamazia akawasema atakavyo,shy waliposhout alinywea.
 
hamna huenda kitanda ni 30 kwa 30

images
Wala hajatia chumzi kwani aliwahi kujionea kwa macho yake mwenyewe, kitanda kimoja wagonjwa kumi...nani anabisha?
Hiyo ni Muhimbili ambako vitanda si vya kawaida na watu wenyewe wamekondeana...!

Huko Mbeya ilishindikana...sana sana watu wawili tu waliweza kujaza kitanda hadi nafasi isipatikane hata ya kulaza kichanga!

IMG-20120626-WA001.jpg
 
Hivi bado unashangaa hotuba zake tu.mimi sasa choka mbaya .
"SERIKALI YANGU HAITATOA CHAKULA,NINAPOSEMA SILETI CHAKULA SILETI KWELI,WALA SIMUNG'UNYI MANENO NA SITALETA KWELI,MLIZOEA MANENO MATAMU SASA MIMI SINA MANENO MATAMU"alisisitiza Rais Magufuli.

swissme
Na hivi kw nini hasa hapendi kushirikisha wenziwe ktk serikali kila akitamka "SERIKALI YANGU" ina maana cc haituhusu? Amejichagua mwenywe pale?
 
Kwa nini usiwe kama sisi tuliochagua kupunguza stress kwa kutomsikiliza!
 
Akihutubia wananchi wa mkoa wa Shinyanga,Rais Magufuli ametumia takwimu nyingi zilizotiwa chumvi ili kueleweka kwa wananchi.

Pamoja na kawaida yake ya kutajataja nambari za fedha,kilometa za barabara na kadhalika,leo Rais amesema kingine kipya chenye munyu wa kutosha na kutisha.

Akizungumzia jinsi Serikali yake ilivyoimarisha sekta ya usafirishaji wa anga kwa kununua ndege sita,Rais amesema kuwa nauli ya ndege kutoka Dar hadi Mwanza ilikuwa shilingi laki tisa.

Akaongeza kuwa kwasasa,kufuatia kununuliwa kwa ndege sita na Serikali,nauli imeshuka hadi laki mbili. Ni ya Dar hadi Mwanza. Munyu ulikuwa mwingi katika takwimu nyingi alizozitoa Rais. Alifanya makusudi au aliteleza?

Mwafaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kwa sasa umeona ujiweke wazi kabisa umechoka kukaa machakani kwa kudai Wewe ni CCM?
 
Back
Top Bottom