prince mwakibete
Member
- Jun 8, 2016
- 29
- 13
Mawazo yako hayo
Watu aliokuwa anawaongoza nyerere siyo hawa anayewaongoza # raisi bora kizazi kile siyo kama ulivyosema hapo juu note kizazi hiki kinajua haki zao hivyo ni ngumu kukifanyia udiktetaTatizo nyie mliozaliwa mwaka wa miatisa 80 hamjui nyerere na ulingo wa demokrasia katka nchi hii. Katka utawala wa nyerere Kulitokea majaribio takriban mara tatu ya kutaka kumpindua kisa watu kunyimwa haki ya kutoa mawazo yao, ni raisi pekee alieonja majaribio ya kupinduliwa hapa nchini histori hii hamuelezewi, that was the black page of Nyerere in democracy which was not told.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kwa hyo unasuport Magu avipoteze vyama vya siasa na wakina tundu lsu?Na Wewe umesahau kuwa huyo Baba yako wa Taifa ndio chanzo cha kufubaza Demokrasia Tanzania.
1965 ni yeye alievifuta Vyama vingi Tanzania na hatimae kuua Demokrasia Nchini.
Ni yeye aliependa kusikia hotuba zake zijibiwe "Zidumu fikra za Mwenyekiti" badala ya why Chairman?
Ni Yeye alieamfundisha Magu kupoteza wanaompinga kama alivyopotezwa Raia wa Zanzibar Aboud Jumbe kwa kuwa na mawazo ya Serikal 3
Ni yeye Nyerere ndie aliempoteza Oscar Kambona kwa kupinga sera ya kufikirika ya Azimio la Arusha.
Kwenye Ulingo wa Demokrasia anachokifanya Magu hajafikia nusu ya alichofanya Nyerere kwny kukandamiza uhuru wa watu kufikiri tofauti na anavyofikiri Nyerere
1993 alishinikiza kina Malecela na Horace Kolimba wajiuzulu kwa kuwa tu waliunga mkono mawazo ya Wengi bungeni G55 ya kina Njelu Kasaka kutaka kurejeshwa serikal ya Tanganyika.
Nyerere tumsifie kwa Mengi aliyofanya lakin kumsifia kwa Demokrasia ni unafiki wa kiwango cha juu kabisa
Tulitaka Rais kama Nyerere na si kama Kikwete.Kwa hyo unasuport Magu avipoteze vyama vya siasa na wakina tundu lsu?
Nakubali saaana kwani yeye ni kubwa la maaduiUmepaniki
Umefikiria kabla ya kuandika kweli? unakiamini ulichoandika? Uwe unafikiri kwanza!kamwe hamuupotoshi umma kwa kumpaka matope... Imani ya watu wa chini wapenda uadilifu iko juu mno kwake... mmezoea.
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Ww ibiris utaishi maisha ya gizan had lin?Wanaomwombea mabaya rais wetu washindwe na walegee .
Mashetani wakubwa