RAI: Vigodoro vipigwe marufuku. Vimekuwa kero na kuchangia mmomonyoko wa maadili

mtoa mada ningekuona una akili kama ungesema , club zote kama vile bilicana, kakala, maisha basement, belcanto, hisaje, sugar ray, samaki posta, meeda, hongera, ambiance n.k.
ZIFUNGULIWE SAA SITA USIKU NA KUFUNGWA SAA KUMI ALFAJIRI, ILI KUTUNZA HAYO MAADILI UNAYOYASEMA
otherwise tuache jukumu la maadili katika ngazi ya familia.

hayo mengine ya baikoko, mnanda, singeli, mdundiko ndio utamaduni wetu sie wa uswahilini na hapo ndipo tunapunguzia machungu yetu hasa kipindi hiki dar palivyokuwa na joto.

mamaaaa amina ......................................malizia nawewe.


ha ha ha ha nmeipendaa hyo mama aminaaaa........ kumalizia ishu nsije nkawa reported buree
 
mmh mkuu kigodoro ni mila za watu hizo si unajua wa africa tuna makabila na tamaduni zetu?badala ya kupiga ngoma mwali atoke zama za sasa hivi unaletwa mziki wa singeli hadi kuchele


kigodoro ni Generation mpya ya Muafrica #wazaramo

*no body cares acha wasaule generation ipite
 

Attachments

  • 1453390639644.jpg
    1453390639644.jpg
    6.6 KB · Views: 130
  • 1453390670382.jpg
    1453390670382.jpg
    8 KB · Views: 1,164
Nenda pale Royal Bar, makumbusho..

Serikali ilianza kwa mikwara kufungia miziki maeneo ya makazi

Hali ipo vilevile... KAMANDA SIRRO amka njoo huku Makumbusho ma M / Nyamala..
Kijana mbona unazingua? Naona post kibao unataka hapa royal kufungwe, mimi nakaa hapa toka kitambo, royal iachwe hivi hivi, opposite na royal unajua kuna nyumba ya boss gani wa magereza?
 
mmh mkuu kigodoro ni mila za watu hizo si unajua wa africa tuna makabila na tamaduni zetu?badala ya kupiga ngoma mwali atoke zama za sasa hivi unaletwa mziki wa singeli hadi kuchele


kigodoro ni Generation mpya ya Muafrica #wazaramo

*no body cares acha wasaule generation ipite
Utamaduni wa kizaramo ndio unaruhusu ukaaji uchi na kuvua nguo mbele ya watoto?
 
Dogo anazingua, mimi hapa naamka sa nane usiku naingia hapo royal nakamata bia moja mbili naangalia wadaa wakicheza taarabu sa kumi narudi zangu nalala,
Aisee uzwaz Interior huwa Wanavua nguo zooote wanabaki uchi wa ngozi na nyama ukiona hutatamani kuoa wanawake wa hivyo mh chefuuuu


wenyewe wanaita FAGIA UWANJA
 
Kuna hao wanajiita k. Mdebwedo wako ka 10 iv buguruni, ukiwa na na harusi unawaalika, kazi yao lazma uikubali, utakuta wamevaa dela tu, pichu hakuna, sasa hiyo k inavyomwenuliwa....uuuuuuuuuwi
 
Back
Top Bottom