Rai kwa vijana wenzangu wa UVCCM baada ya kukosa UDC

Kumbe makelele na kujitoa fahamu kwenye mambo ya msingi ilikuwa ni kupata uDC? Halafu mkishakuwa maDC mnaleta dharau na ushauri wa chama na serikali 'vijana wajiajiri...blah blah bla'kinachowafanya msijiajiri ni nini kutwa kushinda kwenye mitandao kujikomba?

Nendeni mkalime, si ndio sera za majukwaa yenu...namba somekad!
 
Ni jambo lililo wazi kuwa tumepigwa. Tumeisoma namba kweli kweli. Matarajio yetu katika uteuzi wa wakuu wa wilaya hayakuwa haya. Haiwezekani ndani ya jumuiya uchukue watu 2 tu kuwa wakuu wa wilaya. Lazima tukubali tumepigwa... Mpaka sisi vijana 46 tuliopiganiaa chama kwenye mitandao katika uchaguzi mkuu tumeisoma namba. Kwa kweli tumepigwa!
Kumbe huwa mnafanya kazi huku mkitegema kulipwa nafasi za ukuu wa wilaya!
Sheet! Poor thinkig.
 
Kuna kundi kubwa la mabebi humu kuliko nilivyotarajia...wewe ni bebi ake nani?
Muulize yule dada yako anaekulaza sebuleni kodi ya nyumba ni nani anaelipia,halafu muulize "shemeji Mingoi umempa nini mpaka anakujengea Kigamboni"
 
Ni jambo lililo wazi kuwa tumepigwa. Tumeisoma namba kweli kweli. Matarajio yetu katika uteuzi wa wakuu wa wilaya hayakuwa haya. Haiwezekani ndani ya jumuiya uchukue watu 2 tu kuwa wakuu wa wilaya. Lazima tukubali tumepigwa... Mpaka sisi vijana 46 tuliopiganiaa chama kwenye mitandao katika uchaguzi mkuu tumeisoma namba. Kwa kweli tumepigwa!

Pamoja na hayo yote, naomba nitoe Rai yangu kwa vijana wenzangu wa UVCCM, tusikate tamaa, tuendelee kukipigania chama. Bado kuna nafasi na fursa nyingi sana, naomba tusikate tamaa, tuzidi kukipigania chama na jumuiya. Najua mmekwazika, na hata jana nimeona kwenye groups nyingi za whatspp left zimekuwa nyingi. Tafadhali msikate tamaa..

Mwisho, pamoja na kutokata tamaa, ni vyema tukajua Rais wetu wa sasa anapenda wasomi hivyo twendeni shule tupige kitabu, hapo ndipo tutaona matunda ya hii miaka 10...
Cc:lizaboni
Cc:MOTOCHINI
Cc:phillipo Bukililo
 
Poleni sana kwa kufanya kazi kwa kuendekeza njaa,
 
Sisi wana ukawa tupo na tutaendelea kuwepo maana tunafanya yatupasayo kufanya bila kuwa na ahadi wala mategemeo ya kulipwa na chama
 
Kati ya siku nilizo furahi ni jana baada ya kugundua kuwa wale vinara wa kejeri na maneno ya kashfa kwa wana ukawa wametupwa na sasa wapo miguu juu
 
Back
Top Bottom