hill and portion
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 1,236
- 744
Ndo maana nakupendaga my sister comment zako lazima nipate kitu kipyaMmh naona leo kila kidume kitasema kinapenda " usinikubali haraka haraka ", mnataka mzungushwe eti. Sasa nimeona mtu ananifaa jamani ( sijakurupuka ), nilete mapozi ya nini afu akighairi nijifanye nalia lol. ( Kidding )
Haya mambo hayana SI unit, kuna watu wamekutana within a short time na mambo yao yapo freshhhh, wengine yamebuma. Na kuna wengine wamezungushana weee wakaja wakadumu but wengine wakapigana vibuti vya toilet paper. Ni kuomba tu Mungu upate mtu sahihi na kuweka misingi sahihi basi. Afu kumsoma mtu hakuna fixed time, kuna package zinakuja as a whole jamani so unakuta unazielewa mapema teh. Inapohitajika basi utatumia muda mrefu pia kumuelewa mtu. Ila make sure kwa kiasi fulani unamfahamu mtu kabla ya kusema "YES"