Prof Decentman
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 276
- 140
- Thread starter
- #21
So moto kwa moto??Revenge is the best food when served cold
So moto kwa moto??Revenge is the best food when served cold
Rafiki yangu. Yupo so disappointed..Rafiki yako au wew??
Yaah hana otherwise ampe tuSo nimshauri amuachie jamaa yake mke wake.
Sidhan kma ina apply katika masuala kama hayaThe best revenge is living well.
Move on forward and live well.
Let the past be the past.
Mimi nashauri huyo jamaa yako amchukue mkewe hadi kwa huyo jamaa yake akamkabidhi rasmi na amwambie amtunze na kumhudumia asipate shida yoyote ampe raha zote anazostahili ndio utaona kimbembe kilivyo, amezoea vya kunyonga tu huyo.Kusamehe ndo ngumu...
Ila yataka moyo!!!The best revenge is living well.
Move on forward and live well.
Let the past be the past.
Mependa hapo "the best revenge is living well"The best revenge is living well.
Move on forward and live well.
Let the past be the past.
Yataka moyo si kidogo...Ila yataka moyo!!!
So amsamehe rafiki aendelee na mke wake au?Aisee suala la rafiki yangu kula mali zangu ni zito sana. Sometimes 15 years ago ningeweza kusema sitaweza kumsamehe, ila leo hii sijui ni nini nitafanya. Huenda nisimfanye chochote, natimua mke na kuendelea na mambo mengine. Nimefikia mahali sioni umuhimu wowote wa kujiacha unaumia roho sana kwa sababu ya upumbavu wa watu wawili. Wameamua kufanya ngono nyuma ya mgongo wako, je ni sababu ya kutengeneza matatizo mengine? Mimi nasema hapana. Tupa kule fanya mambo mengine ya maana. Huyo rafiki unafuta tu kwenye kumbukumbu. Yaani unafanya kama vile hujawahi kumuona maishani mwako.
-Simple as that-
Umeongea maneno mazito sana. Kwa nilivyoshuhudia ni kweli inauma sana yaani mpaka mtu anachanganyikiwa. Lakini pia najiuliza inakuwaje rafiki wa jamaa amue kutongoza na mwisho amle mke wa jamaa yake!! Ina maana alikuwa anadhani haitajulikana??Hiki kitu inauma sana. Watu huwa wanafikiri rahis rahis tu lkn kiukweli ukifikiria mkeo anavyokunjwa na mshikaji. Kiukweli hamu uisha kbsa. MUNGU ATUSAIDIE TU
N.B:
Km una cheat fanya juu chin mwezako asijuye. Ila akijua upo ktk hali mbaya sana. Maana mwingine utakuta anakupimia tu km hajui kbsa lkn ana lake moyoni. Atakachoa amua mbele utajuta.
Km unampenda mtu bora usicheat ila km haumpendi ww cheat utakavyo sbb siku mkiachana haitakuuma.
Uyo mwingine 'the one' hatocheat?any guarantees,..wa kwako ni yupi km utakua unaacha mtu cz of kosa moja tuMungu ana njia nyingi za kukuonesha huyo ulienae sio wako. Muache move on peacefully!