Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

Ni Aina za fungus, atumie dawa ya kupaka Aina ya skinderm na vidonge vya kunywa Aina ya Grisofruvin ni tiba zinazoendana pamoja.
 
Kwamba Rafiki yako akuonyeshe uume wake wewe umekuwa mkewe au daktari?

Kwanini kama unaumwa wewe usiseme ni wewe ili members hapa wenye utaalamu waone namna ya kukusaidia?,Jina na I'd yako yenyewe unatumia FAKE,Why uogope?


Any way

Hizo ni dalili za Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI)
Huyu mjomba bana😂😂
 
Back
Top Bottom