Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

Chapter 4

New Member
Mar 20, 2024
4
23
Wakuu naombeni ushauri,

Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye makalio vimemtokea, shidah ni nini?, na amesha enda hospital amepewa dawa za fungus na sindano ya aleji lakin wapi?

Msaada please

1000300460.jpg
1000300461.jpg
 
Attachments

  • 1000300461.jpg
    1000300461.jpg
    1.7 MB · Views: 39
Kwamba Rafiki yako akuonyeshe uume wake wewe umekuwa mkewe au daktari?

Kwanini kama unaumwa wewe usiseme ni wewe ili members hapa wenye utaalamu waone namna ya kukusaidia?,Jina na I'd yako yenyewe unatumia FAKE,Why uogope?

Any way

Hizo ni dalili za Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI)
 
Acha kula au kunywa mauchafu na matakataka.

Soda inasababisha mrundikano wa masukari guru kwenye damu, sumu, uchafu, tindikali nk... lazima upate mapele na MAJIPU a.k.a MANUNDU.

KAHAWA, MAFUTA, BIA, MAYAI YA KISASA, KUKU WA KISASA, CHIPUSI ZA MAFUTA YA TRANSFOMA, BLUEBAND, JUISI, FLOURIDE, CHLORINE, MERCURY, HEAVY METALS.

PARASITES, MINYOO KWENYE UTUMBO.

MACHANJO YA CORONA, ANTIBIOTICS.
 
Kwahiyo we unakula tu mamihogo
 
Back
Top Bottom