IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,497
- 2,414
Wakuu nimetazama hii series mwanzo mwisho kupitia simu yangu. Ukiona Hilo jina utasema inahusu wanyama labda,
Kwa kweli ni series nzuri Sana inayo husu madawa ya kulevya mitifuano ya kufa mtu, kuzungukana ndio kabisa wapo na uhalisia kabisa na Mambo ya madawa hawa wa Mexico hii wamecheza.
Mambo ya Plata o plomo ndio humu.
Ilipokuja niacha Hoi hii zaidi pale Teresa alipo uhawa na yeye ndio Star wa series tena kahuwawa na jamaa yake James alie mlinda kila leo kwa kupigwa sniper,
pote alipata machungu Sana baada ya kuona boss wake kafa ikiwa kawamaliza maadui zake na sasa ni muda wa kuinjoy .
Pia pote mkewe alikua mjamzito alijificha mahali kukimbia maadui zao nae akapotea na pote alijua kafa.
Bahat mbaya pote nae anadakwa akiwa kwenye mishe za kusaka walio muua Teresa Mendoza na kufungwa kwa miaka 4 .
Anatoka anapokelewa na chicho na kuanza upya wanafanikiwa kumuua Boaz ambae Wana amini alimuua Teresita Mendoza kisha wana agana na chicho nae pote anaelekea uko Mexico
Yuko ufukweni anamuona mtoto na kumpa zawadi
mtoto anapokea na kumuita mama yake kumuonesha kumbe ni mkewe pote kely ane na uyo mtoto ni mwanae.
ghafla anamuona James muuhuaji wa Teresa na ghafla anamuona Teresa Mendoza yule marehemu akiwa hai hapa ata Mim ilinishangaza kumbe walifoji kifo ili ijulikane gangster wa madawa kafa na ilijulikana ivyo sababu option ilikua ni moja Ashikwee na polisi au ionekane kafa.
Pote mkewe alipotea kumbe james ndio alienda mtoa alipojificha na kusepa nae series Kali series ya maana series sio ya mchongo hii ni chuma itafuteni. Sijamaliza kila kitu hapo.
Nimejaribu ku upload picha zinagoma sijui kwanini