Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,460
- 1,737
Ndugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu,
Kuzaliwa kwake kuishi kwake na kufa kwake,.
Sasa huyu kijana ukimsoma maisha yake hakuna sehemu yeyote ile anakuwa kalibu na Mungu (allah),
Labda injili ingekuwa kitabu cha ADAMU sawa, maana Adamu alizungumza na Mungu, aliguswa na Mungu, na alionana na Mungu, ila baada ya kula tunda ndio Mungu akajitenga mbali nae, sio yesu.
Hakuna sehemu anazungumza na Mungu wala hakuna sehemu yeyote ile anaonana na mungu, hakuna sehemu anaoa wala kupata mtoto ni kama kilikuwa kitoto cha shetani, mara nyingi alikuwa akisema BABA,
kuna wakati alimuita baba yake mara tatu na hakumjibu siamini kama alikuwa anamlenga Mungu (allah)
Je mfumo wa kitabu anaupata wapi?,
Au tuseme matendo yote ya mitume na manabii ya maisha yao ni vitabu?,
Hata ukija kuitafuta injili yenyewe issa ambaye ni yesu hakuiacha,. Ilikuja andikwa baadae sana baada ya yeye kufa, yaani ni kama historia ya maisha yake.
Je historia na matendo ya issa yesu ndio tuseme kitabu cha Mungu?
Kwa Muhammad kuwa na kitabu sawa maana yeye alikuwa akipata wajhi kutoka kwa Mungu kwa njia Gebliru alai salamu (yaani ni kama alikuwa anaota )
Pia kwa mussa kuwa na kitabu sawa maana yeye alionana na Mungu moja kwa moja pale mlimani na kumpa amri kumi.
Kuhusu Zaburi na daudi pia ni Matango poli,. Hakuna sehemu daudi anashushiwa kitabu kutoka kwa Mungu, zaidi ya mateso makali ya maisha yake, na hatuwezi sema ni kitabu kutoka kwa Mungu.
Leo hii inakuja Qur-an inasimama mbele za watu inasema Mungu kashusha vitabu vinne (ikiwemo na injili)
Huu ni uzushi,
Bora tungekuwa na kitabu cha ADAMU
Mwisho kabisa kwenye binadamu aliyewahi onana na Mungu au kusikia sauti yake ISSA (YESU) Hayupo.
Ni (ADAMU, MUSSA, na MUHAMMADI japo kwa Muhammad sio kwa ana kwa ana.
Issa yesu yeye alijulikana tu kwa mazingaombwe yake ya kiini macho na tukio lake kubwa ni kusurubiwa msarabani,.
Sasa Quran inapokuja kukitambua kitabu cha issa na kusema ni kitabu cha mungu mimi kama
UWESU TANZANIA nakuwa na mashaka na hata ukweli wa quran yenyewe.

Uwesutanzania . Una hoja tatu mm naziona
1. Yesu au Nabii Issa ingawa maisha yake yako kwenye Quran ila hauamini uhalisia wake.
2. Kwasababu Quran imeitambua Injili kama moja ya vitabu vinne basi unatilia shaka kuwa hata Quran haiongei ukweli
3. Unaamini Amri za Mussa .
Na Torati zake zilizotolewa kwa wana wa Israel ndio zimeshushwa na Mungu.
Hizi zote ni Mapitio tu Dini za Mashariki na kati zilizopotia.
1. Kuna Dini had Leo zinashika torati ya Mussa na haiamini hata Injili wala yesu.
Wameishia hapo kuweka mising yao ya Kumuamini Mungu (wayahudi)
2. Kuna wanao iamini Torat ya Mussa na Injili
Na kumuamini Yesu. (Wakristo)
3. Kuna wanaoiamini Torati , Injili na Quran (wasislamu)