Queen Darleen: Naumia Kuishi Bila Mpenzi

Nikitafakari kwa kina naziona faida zaidi ya hasara za kuwa na mwisho kumwoa queen darleen...
1÷ keshapitia mengi so yeye mwenyewe kaamua kutulia. Utoto umekwisha usela mavi umekata umri na heshima ya kakake inamfanya atamani kuwa na maisha na heshima duniani kama waliomtangulia

2÷ kwa upande wa uchumi naona kabisa anko wa wanetu hatokubali wajomba zake wasome kajamba nani washindwe kuongea kiingereza na watoto wake hasa ukichukulia dada mwenyewe ndio huyo na yule mwingine wa kiswahili zaidi.

3÷ kwa upande wa fursa za maisha na biashara naona kama shemeji platnumz hatokubali mume wa dadake niwe choka mbaya wakati yeye mzigo anao...Yani kama akili ya kupewa 50 mil nifanye biashara sina basi shemela hata kazi ya kuwa dereva wa watoto wake kwenda shule na saluni kunyoa nywele nitapewa mie na mshara wa 10mil kwa mwezi.

4÷ basi shemeji hata akiwa mnoko kiasi gani...ukaribu na mke wa shemeji unaweza kukutoa hata nikapewa kazi ya kufanya ulinzi kwa familia ya zari Uganda au hata Sauzi kwa mjengo wao walionunua nikawa gardener

5÷ yote kwa yote....huyu mtoto wa kimanyema wanavyokuwaga watamu kama wametiwa asali ya nyuki wadogo sihaba nitafaidi penzi la kimanyema na ukichukulia nitakuwa namkojoza wallah siwezi jutia kupata penzi la mmanyema na mapishi ya migebuka na vitenge vya kongo.

DAHHHH.....KUMBE NIMEOA TAYARI NA MKE NA WATOTO JUU ....OHOHHHH...basi bana vijana kamateni fursa hii .
 
Screenshot from 2017-02-17 18-43-32.png

Queen bana..Kila la heri. Mungu akusaidie umpate. Wambie wadogo zako waache kuwalingia wananume. Kwani watakuja kuwatafuta wakifika kipindi chako
 
KAMA ameamua NADHANI ni vyema akapata kustiriwa.ILA awe tayari kupima afya mwili mzima,pia ajutie aliyowahi kufanya na asirejee maisha ni DARASA kubwa
 
Back
Top Bottom