Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

We jamaa uwezo wa kufikiri ni mdogo sana.......kwa hiyo kama wameandikwa kwenye CITIZEN basi ndo ime justify kuwa sio matapeli.....nilishawahi kuandika TIME magazine yenyewe huwa inatumika kuaminisha watu kuhusu vitu flani sembuse the CITIZEN? Haya utasema je kuhusu Forbes Magazine iliyo watoa watu kwamba ni mabilionaire watarajiwa? hao mabilionaire watarajiwa wako wapi sahivi wengine si ni wakuu wa wilaya? sasa utasema mtu ambaye alikuwa awe bilionaire ameacha ubionare amefuata ukuu wa wilaya hiyo inaingia akilini?
Heheh na nywele hatuzioni tena, siku hizi porojo na salama tu.Halafu "mikomenti ya wanaINJI" inasema yuko vizuri.Hahahaha lazima tuendelee kuwa masikini ili tuamke😂😂
 
Waliwahi kunialika sasa kitu ambacho hawakujua ni kwamba mambo ya Ulimwengu nayajua mno na Story za Q net yao nazijua kitambo sana hadi kupigwa bun kwenye baadhi ya nchi. Niliwapiga maswali hawatakaa wasahau.
Hahaha, good morning, kinachoshangaza anayekualika anaonekana choka mbaya zaidi yako halafu anakupa projection za kuwa anapata hela.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wamenifuata mara kwa mara na mpk sasa nasumbuliwa kwenye simu kila kukicha nijiunge nao,kila nikifikiria kiingilio ndo nachoka kabisa na isitoshe hata watu wanaokuja kunishawishi wengi sion mafanikio waliyonayo,wana maneno mazuri ila kiuhalisia kaz yao ni ngumu sana,huo mtaji ni heri uuzungushe biashara yyt angalau uwe unaiona hela yako kuliko kuitupa huku ukiwa una matarajio ya kuwa milionea
Mi nilishawahi kuwa involved na hawa jamaa wa Qnet, idea yao ya network marketing siyo mbaya shida iko kwenye mtaji unaotakiwa kuinvest ni mkubwa, kibongo bongo sio rahisi kuwa na kiasi hicho thus why inabidi watumie maneno ya kitapeli kwenye ku convince kiasi kwamba mtu mpaka anakopa. Lkn shida inakuja baada ya kujoin namna ambavyo utaweza kumshawishi mtu ajiunge chini yako lazima ukomae na maneno mengi ya uongo ili umteke. Pesa ya kiingilio ingekuwa walau chini ya milioni am sure watu wangenufaika kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chain market ni biashara za utopolo, kuna mwaka kuna jamaa nilimuona through Fb, bac kama mtafuta fursa nikasema nimcheki huyu kijanaa mwenye mafanikio bqc jamaa akaniambia nimtafute pale makumbusho stend wana fanya seminar, my first concern ni venue pale makumbusho stand ? Very dirty venue kama hall la kubet, bac nika kqa nikawasikikizaaa pale final jamaa akaja akajitambulisha ss waka anza kushawishi jiunge toa laki 5 jamaa ana kwambia ujiunge na laki 5 as if amekupa bac nikatoka pale jamaa akawa ana nifanyia follow up kwa kunipia simu mara kwa mara eti kaka vp hujapata bado laki 5. ? Nika mkata maini kabisa nika mwambia nilishapata zaidi ya laki 5 na nimenunua ka ist ss kakutembelea .. jamaa akapiga eti haupo serious na maisha nika mwambia embu kanitafutie aliye serious na maisha kutoka ktk chain yako jamaa alichukiaa mbayaaaaa !!
 
Kuna kampuni moja inaitwa Qnet ni kampuni tanzu ya Qi company,ni biashara ya mtandao makao yake makuu yapo Hong kong,wana deal na kuuza saa,vifaa tiba n.k.

ni hivi wanashawishi watu wakope na wanunue bidhaa mtandaoni km saa n.k kwa bei kubwa km milioni 5 then automatically unakua umeshakua member then unaambiwa utafute watu kadhaa nao wanunue bidhaa ili upate kamisheni cha ajabu ni kua hta km huna hela watatumia mbinu zote za kiulaghai kwamba utapata zaidi ya milioni 10 as a kamisheni kila mwezi na maisha yko yatakua mazuri ndani ya muda mfupi sasa na njaa zetu hizi ukipiga picha m10 kila mwezi unaweza kuingia mkenge .

Hii kampuni ilishapigwa marufuku kwa "fraud" nchi kibao kama India,australia n.k.hivi sasa hapa bongo ndo imeshika kasi na ofisi zao zipo hpa kinondoni Studio. serikali mko wapi?

kwa jinsi walivyo wajanja hpa walipoweka ofisi yao huwezi jua kinachoendelea humo ndani utaona tu watu wanaingia na kutoka ukiuliza kuna nini humo ndani huwezi ambiwa,nimejaribu kunyapia nyapia mpaka nimefanikiwa kuingia na kufanyiwa semina ndo nikagundua hawa ni matapeli.

Maisha magumu yasitufanye tuwe wepesi wa kuamini visivyo aminika.
Kumbe hili dude likishaanimwa jf since 2017,but 2020 serikali ndo imekuja kufumbua macho baada ya maelfu kuumizwa loh!!
 
Tangulini MATAPELI WAKATANGAZWA KWENYE GAZETI KAMA HILO.. pitieni gazet la THECIZITEN la tarehe ya leo 30 may 2017. Mjionee ukweli kuhusu qnet.. WATANZANIA TUJIFUNZE KUPIMA MAMBO KWA FACTS na sio kukurupuka na kusikiliza kila opinions. Thanks.

Naona kupima kwa fact umefanikiwa.
 
ndugu yangu mmoja kujiunga huko. basi anajuhudi ya kunishawishi. ila naona ni mwepesi wa kuchukuliwa na haya makampuni. alishajiung forever, gold, Organo, oriflame; Sasa kaangukia Qnet..I'm.waiting patiently to see
Mkuu salama?? Hebu tupe mrejesho wa yule ndugu yako, alivuna chochote??
 
Back
Top Bottom