Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,864
- 4,495
Ni scripting language inasupport oop pia, hii ni program imekosewa sasa kinachotakiwa ni kuondoa hayo ma error hadi iweze kurun mie nilianza kuondoa hizo error nikafika hapo nikakwama.
Original codes ni hizi hapa cheki hapa nafikiri utaelewa vizuri na kudetect errors zote ndugu...
Fungua hii link
Python code - 92 lines - codepad
Ntaicheki