Putin sasa aomba akutanishwe na Rais Zeleniskyy wa Ukraine ili waingie makubaliano ya kumaliza vita!

Rais Putin wa Russia ameomba akutanishwe uso kwa uso na Rais Zelenisky wa Ukraine ili waweze kuingia makubaliano ya kumaliza vita.

Source: BBC
Source?? Ni Putin au kinyume chake?? Hakuna propaganda kutokana na source yako?? Jana vyanzo mbalimbali vya habari vilisema aliyeomba uso kwa uso ni Rais wa Ukraine. Kama ni Putin au Zelenidky litakuwa ni jambo jema ili uhai wa watu usiendelee kupotea!!!
 
Uhai wa watu ni muhimu.
 
Rais Putin wa Russia ameomba akutanishwe uso kwa uso na Rais Zelenisky wa Ukraine ili waweze kuingia makubaliano ya kumaliza vita.

Source: BBC
Mwongo mkubwa! BBC ya kuona peke yako ya wapi hiyo? Screen shot hiyo habari utuwekee hapa!! Huwa natembelea bbc zaidi ya mara tano kwa siku. baada ya kuona uzi wako nimetembelea tovuti tovuti ya bbc na hakuna kitu kama hicho.
 
Upo sahihi mkuu.
 
Back
Top Bottom