Putin kuapishwa leo kuwa Rais kwa mara ya 5 na miaka 24 madarakani

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,441
8,261
URUSI: Vladimir Putin anatarajiwa kuapishwa leo Mei 7, 2024 kuendelea kuliongoza Taifa hilo kwa kipindi kingine cha miaka 6 huku akiwa ametawala kwa miaka 24

Putin alishinda Urais kwa takriban 87% katika Uchaguzi uliofanyika Machi 2024 ikiwa ni baada ya kufanyika mabadiliko ya Katiba yanayoruhusu aweze kugombea Uraisi hadi mwaka 2036

=========

Vladimir Putin: Little chance of change as Kremlin leader is sworn in

For the fifth time Vladimir Putin will be taking the long walk through the Grand Kremlin Palace to the St Andrew's Throne Hall. There he will take the oath of office and be sworn in as Russia's president for a new six-year term

The route may be familiar, but much has changed since Putin's first inauguration ceremony in May 2000.

Back then, President Putin pledged to "preserve and develop democracy" and to "take care of Russia."

Twenty-four years on, the Kremlin leader is waging war against Ukraine; a war in which Russia has suffered heavy losses. At home, instead of developing democracy, President Putin has been curtailing it: jailing critics, removing all checks and balances on his power.

BBC
 
Screenshot_20240403-213954.png
 
At least yeye anaweza kubadili katiba ili tu aitetee nchi na wananchi wake,kulikoni hawa wa kwetu wengi hubadili katiba ili wakale Bata ikulu na familia zao😆😆😆shame kabisa
 
URUSI: Vladimir Putin anatarajiwa kuapishwa leo Mei 7, 2024 kuendelea kuliongoza Taifa hilo kwa kipindi kingine cha miaka 6 huku akiwa ametawala kwa miaka 24

Putin alishinda Urais kwa takriban 87% katika Uchaguzi uliofanyika Machi 2024 ikiwa ni baada ya kufanyika mabadiliko ya Katiba yanayoruhusu aweze kugombea Uraisi hadi mwaka 2036

=========

Vladimir Putin: Little chance of change as Kremlin leader is sworn in

For the fifth time Vladimir Putin will be taking the long walk through the Grand Kremlin Palace to the St Andrew's Throne Hall. There he will take the oath of office and be sworn in as Russia's president for a new six-year term

The route may be familiar, but much has changed since Putin's first inauguration ceremony in May 2000.

Back then, President Putin pledged to "preserve and develop democracy" and to "take care of Russia."

Twenty-four years on, the Kremlin leader is waging war against Ukraine; a war in which Russia has suffered heavy losses. At home, instead of developing democracy, President Putin has been curtailing it: jailing critics, removing all checks and balances on his power.

BBC
Viva Putin, Stupid NATO AND FUCKIN WASHINGTON
 
Huyu jamaa ameiinua sana Russia baada ya USSR kuanguka. Mzalendo kwelikweli kwa nchi yake.
Wenzetu wakisha mpata Rais wanatulia (Mfano Russia, China). Sisi bado tuko na domokasia, siasa uchwara na maigizo ya kila miaka 5.
 
if he exercised democracy Na kujali stahiki za watumishi na kutochekea hali ya kunyang'anya wengine haki ya kuishi
Pombe joseph would be the best president ever,
 
Sema jamaa angestuka mapema angeweka katiba nzuri basi mambo yangekuwa safi. Hii katiba ya kwenda kwa uatashi wa mtu sio kabisa
 
Back
Top Bottom