Pumzika kwa amani mdogo wangu

Miongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah

Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao

Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku
e7486b1cab15ab6671476e2fcb14de35.jpg



Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla

Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah
Inna liliah wa inna illah Rajiun.Poleni sana,Mungu awape nguvu na subra wafiwa katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana mkuu mwenyezi Mungu mmiliki wa pumzi awatie nguvu wanafamilia wote wapumzike mahala pema peponi
 
Miongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah

Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao

Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku
e7486b1cab15ab6671476e2fcb14de35.jpg



Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla

Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah
Innalillah Wainnalillah Rajiun
 
Back
Top Bottom