Prophet Sanga 2022: Niliona mawe yenye moto,nikaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, ikakaa, tuombe

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
1,049
3,084
"Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha, Mungu aliniuliza unaona nini, nikajibu naona kitu, mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" - Prophet Sanga.

"Mwaka 2023, huu ni mwaka gani!? Mwaka 2022, sasa mwaka 2023 kwenda 2024, zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka magharibi ya Tanzania wakileta mtafaruku katika hili Taifa, hawa ni watu kutoka magharibi wakija katikati wataleta mtafaruku mkubwa" - Prophet Sanga.

"Nikaona moto, Mungu akasema namuona shetani akipanda kitu katikati yenu kutoka watu wa magharibi, magharibi ni wapi!? naiona bendera ya Tanzania ikipita katikati ya moto, tunatakiwa tuombe bendera hii isiungue, kama bendera hii ikiungua hakutabaki mwanasiasa ataebaki salama" - Prophet Sanga.

"Kabla sijaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, niliona mawe ya moto yakija Tanzania, na baadaye nikaona bendera ya nchi yangu ikipita katika moto" - Prophet Sanga.

"Kama tutaungana kama taifa tukaomba bendera ya Tanzania itapita katika moto bila kuungua lakini tusipoomba tutashuhudia kifo tena, unabii unapotolewa tunapaswa kuukubali na kuingia kwenye maombi" - Prophet Sanga.

"Sina mashaka na alichonionyesha Mungu, pitia historia yangu, kama hatutaomba unabii huu utawakumbusha, naiona bendera ya Tanzania ikipita katika moto na ikakaa, naviona vifo, Mimi na wewe tunaweza kusimama na kuomba, kama unajiona mwenye hekima unataka kuthibitisha, subiri ifike 2023 na utathibitisha" - Prophet Sanga.

"Kama hatutaomba na Mimi kama ulivyowewe nitasubiri kuona hili litokee katika ulimwengu wa kawaida baada ya kuona ikitokea katika ulimwengu wa kiroho" - Prophet Sanga.

"Kuna watu watakufa, wataobaki wataunda kundi la pembe tatu lenye pembe saba, nani anaweza kunionyesha pembe tatu yenye pembe sana" - Prophet Sanga.
 
"Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha,Mungu aliniuliza unaona nini,nikajibu naona kitu,mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" Prophet Sanga

"Mwaka 2023,huu ni mwaka gani!? mwaka 2023 kwenda 2024,zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka magharibi ya Tanzania wakileta mtafaruku katika hili Taifa,awa ni watu kutoka magharibi wakija katikati wataleta mtafaruku mkubwa" Prophet Sanga.

"Nikaona moto,Mungu akasema namuona shetani akipanda kitu katikati yenu kutoka watu wa magharibi, magharibi ni wapi!? naiona bendera ya Tanzania ikipita katikati ya moto,tunatakiwa tuombe bendera hii isiungue,kama bendera hii ikiungua hakutabaki mwanasiasa ataebaki salama" Prophet Sanga.

"Kabla sijaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto,niliona mawe ya moto yakija Tanzania,na baadae nikaona bendera ya nchi yangu ikipita katika moto" Prophet Sanga.

"Kama tutaungana kama taifa tukaomba bendera ya Tanzania itapita katika moto bila kuungua lakini tusipoomba tutashuhudia kifo tena,unabii unapotolewa tunapaswa kuukubali na kuingia kwenye maombi" Prophet Sanga.

"Sina mashaka na alichonionyesha Mungu,pitia historia yangu,kama hatutaomba unabii huu utawakumbusha,naiona bendera ya Tanzania ikipita katika moto na ikakaa,naviona vifo,Mimi na wewe tunaweza kusimama na kuomba,kama unajiona mwenye hekima unataka kuthibitisha,subiri ifike 2023 na utathibitisha" Prophet Sanga

"Kama hatutaomba na Mimi kama ulivyowewe nitasubiri kuona hili litokee katika ulimwengu wa kawaida baada ya kuona ikitokea katika ulimwengu wa kiroho" Prophet Sanga

"Kuna watu watakufa wataobaki wataunda kundi la pembe tatu lenye pembe saba,nani anaweza kunionyesha pembe tatu yenye pembe sana" Prophet Sanga
Huyo “nabii” namshauri aache kuvuta bangi.
 
"Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha,Mungu aliniuliza unaona nini,nikajibu naona kitu,mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" Prophet Sanga

"Mwaka 2023,huu ni mwaka gani!? Mwaka 2022,sasa mwaka 2023 kwenda 2024,zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka magharibi ya Tanzania wakileta mtafaruku katika hili Taifa,awa ni watu kutoka magharibi wakija katikati wataleta mtafaruku mkubwa" Prophet Sanga.

Sawa!
 
Nabii aende kumuombea Pengo ..
Aache project yake ya kulazimisha Phili Mpango awe Rais mwaka 2025...
Pengo anachagua Rais wa TZ.
Sie tunasubiri 2030 ili tumuweke Mkatoliki wetu Ikulu baada ya Bi.Mkubwa.
Kama Kuna wanasiasa wanahitaji urais wa Tanganyika Basi no vizuri wakasogea kwenye kigango kilicho karibu ili waweze kubatizwa ili waikiri Imani katika Kanisa Takatifu,katoliki la Mitume
 
"Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha,Mungu aliniuliza unaona nini,nikajibu naona kitu,mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" Prophet Sanga

"Mwaka 2023,huu ni mwaka gani!? Mwaka 2022,sasa mwaka 2023 kwenda 2024,zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka magharibi ya Tanzania wakileta mtafaruku katika hili Taifa,awa ni watu kutoka magharibi wakija katikati wataleta mtafaruku mkubwa" Prophet Sanga.

"Nikaona moto,Mungu akasema namuona shetani akipanda kitu katikati yenu kutoka watu wa magharibi, magharibi ni wapi!? naiona bendera ya Tanzania ikipita katikati ya moto,tunatakiwa tuombe bendera hii isiungue,kama bendera hii ikiungua hakutabaki mwanasiasa ataebaki salama" Prophet Sanga.

"Kabla sijaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto,niliona mawe ya moto yakija Tanzania,na baadae nikaona bendera ya nchi yangu ikipita katika moto" Prophet Sanga.

"Kama tutaungana kama taifa tukaomba bendera ya Tanzania itapita katika moto bila kuungua lakini tusipoomba tutashuhudia kifo tena,unabii unapotolewa tunapaswa kuukubali na kuingia kwenye maombi" Prophet Sanga.

"Sina mashaka na alichonionyesha Mungu,pitia historia yangu,kama hatutaomba unabii huu utawakumbusha,naiona bendera ya Tanzania ikipita katika moto na ikakaa,naviona vifo,Mimi na wewe tunaweza kusimama na kuomba,kama unajiona mwenye hekima unataka kuthibitisha,subiri ifike 2023 na utathibitisha" Prophet Sanga

"Kama hatutaomba na Mimi kama ulivyowewe nitasubiri kuona hili litokee katika ulimwengu wa kawaida baada ya kuona ikitokea katika ulimwengu wa kiroho" Prophet Sanga

"Kuna watu watakufa wataobaki wataunda kundi la pembe tatu lenye pembe saba,nani anaweza kunionyesha pembe tatu yenye pembe sana" Prophet Sanga
wa wapi huyu mwehu eti msitu wa kibaha! anaibuka tapeli mwingine.
 
"Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha, Mungu aliniuliza unaona nini, nikajibu naona kitu, mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" - Prophet Sanga.

"Mwaka 2023, huu ni mwaka gani!? Mwaka 2022, sasa mwaka 2023 kwenda 2024, zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka magharibi ya Tanzania wakileta mtafaruku katika hili Taifa, hawa ni watu kutoka magharibi wakija katikati wataleta mtafaruku mkubwa" - Prophet Sanga.

"Nikaona moto, Mungu akasema namuona shetani akipanda kitu katikati yenu kutoka watu wa magharibi, magharibi ni wapi!? naiona bendera ya Tanzania ikipita katikati ya moto, tunatakiwa tuombe bendera hii isiungue, kama bendera hii ikiungua hakutabaki mwanasiasa ataebaki salama" - Prophet Sanga.

"Kabla sijaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, niliona mawe ya moto yakija Tanzania, na baadaye nikaona bendera ya nchi yangu ikipita katika moto" - Prophet Sanga.

"Kama tutaungana kama taifa tukaomba bendera ya Tanzania itapita katika moto bila kuungua lakini tusipoomba tutashuhudia kifo tena, unabii unapotolewa tunapaswa kuukubali na kuingia kwenye maombi" - Prophet Sanga.

"Sina mashaka na alichonionyesha Mungu, pitia historia yangu, kama hatutaomba unabii huu utawakumbusha, naiona bendera ya Tanzania ikipita katika moto na ikakaa, naviona vifo, Mimi na wewe tunaweza kusimama na kuomba, kama unajiona mwenye hekima unataka kuthibitisha, subiri ifike 2023 na utathibitisha" - Prophet Sanga.

"Kama hatutaomba na Mimi kama ulivyowewe nitasubiri kuona hili litokee katika ulimwengu wa kawaida baada ya kuona ikitokea katika ulimwengu wa kiroho" - Prophet Sanga.

"Kuna watu watakufa, wataobaki wataunda kundi la pembe tatu lenye pembe saba, nani anaweza kunionyesha pembe tatu yenye pembe sana" - Prophet Sanga.
Matapeli katika ubora wao ,hahaah
 
Angalieni ufunuo 19:11
kisha nikaona mbingu zimefunguliwa na huko alikuwako farasi mmoja mweupe na mpandafarasi wake aliitwa mwaminifu na kweli huyo huhukumu na kupigana kwaajili ya haki...Ufunuo 19:15 yeye ndiye atakayetawala kwa fimbo ya chuma...Ufunuo 19:13 na jina lake huyo ni neno la mungu.Biblia inajua kila kitu kitakachokuja kutokea kwahyo msidanganyike na manabii wa uongo.
 
Back
Top Bottom