Kada Mzalendo
Senior Member
- Oct 9, 2024
- 142
- 97
- Thread starter
- #21
Chadema wana historia ya kutumia migogoro kama njia ya kujenga huruma kwa umma.Shida iko hapa, unaulizwa kitu simple una panick. Weka hisia pembeni rudi kwenye facts
Una udhibitisho ya uliyoandika?
Je, tukio la Kibiti halikuja kwa wakati mwafaka wa kuharibu taswira ya serikali siku chache baada ya mafanikio ya kidiplomasia? Bahati mbaya sana kwao, propaganda haifichi ukweli.
Kama unajiweza njoo tujadili ila huyo mwenzio arudi shule kwanza akajifunze kuandika kisha ndio arudi kujadili mambo yanayomzidi uwezo kama haya.