Propaganda ya Mbowe na Lissu imeongeza umaarufu wa CHADEMA kuelekea uchaguzi Kwa haraka sana!

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
20,546
32,263
Hellow!

Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu.

CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi.

Na propaganda hii inaenda kuhitimishwa na Mbowe Leo akitangaza kukiunganisha chama Leo Kwa kutangaza ku.....

Mungu ibariki CHADEMA, CCM imesahaulika.

Karibuni 🙏
 
Na mnadhani itaongeza wapiga kura? Kisha mtafute huruma ya jamii mmeibiwa kura?

Ifike mahali vyama vya upinzani viuze sera na kujenga mifumo imara na sio kujificha kwenye kichaka cha katiba mbovu na polisi.

Na hili wanalijua saana.
 
Hauujui uchaguzi wa Tanzania. Ningekuelekeza,I am afraid I can kill you!
 
Chama kimefanikiwa kurudisha popularity yake Kwa haraka sana,

Muhimu ni Lissu na Mbowe kumaliza hizi tuhuma fake wanazorushiana kwenye compaign Kwa njia ya ustadi mkubwa,

Poleni CCM!!
 
Kama kawaida siasa ni perception tu.

Hapa Arusha ambapo ni moja ya ngome za Chadema wafuasi wamekwisha. And you know why! Hakuna muelekeo. Mwaka 2010 kuridi nyuma I could see. Watu walikuwa wantamani hata kamkutano kadogo ka upinzani kafanyike. Na nataka kuamini ndivyo ilivyo kwa mikoa mingine Tz maana nimepitapita pia.

Umepita Facebook na Instagram ukasoma comments za watanzania? Youtube, X na JF naelewa waliowengi ni upinzani. Lakini pita facebook na wapiga kura wamejaa huku.
 
Chama kimefanikiwa kurudisha popularity yake Kwa haraka sana,

Muhimu ni Lissu na Mbowe kumaliza hizi tuhuma fake wanazorushiana kwenye compaign Kwa njia ya ustadi mkubwa,

Poleni CCM!!
Huna akili kabisa!

Morali ya machadema kwa sasa imeshuka sana kutokana hasa na Mbowe kuukumbatia uenyekiti.

Haya machawa yamayomshambulia Lisu unafikri yatafichq wapi sura zao Lisu akiwa mwenyekiti?..

Je Mbowe nae akiwa mwenyekiti tena unafikiri kuna chama hapo tena?

Lile IGIZO lake la juzi eti watu wamevamia kwake kumtaka agombee, yani watu wavamie tu ghafla wakute viti, mahema na maspika tayari kwa hotuba?

Huna akili kama unafikri chadema ina imarika
 
Na mnadhani itaongeza wapiga kura? Kisha mtafute huruma ya jamii mmeibiwa kura?

Ifike mahali vyama vya upinzani viuze sera na kujenga mifumo imara na sio kujificha kwenye kichaka cha katiba mbovu na polisi.

Na hili wanalijua saana.
We fala kweli
 
Huna akili kabisa!

Morali ya machadema kwa sasa imeshuka sana kutokana hasa na Mbowe kuukumbatia uenyekiti.

Haya machawa yamayomshambulia Lisu unafikri yatafichq wapi sura zao Lisu akiwa mwenyekiti?..

Je Mbowe nae akiwa mwenyekiti tena unafikiri kuna chama hapo tena?

Lile IGIZO lake la juzi eti watu wameamua kwake kumtaka agombee, yani watu wavamie tu ghafla wakute viti, mahema na maspika tayari kwa hotuba?

Huna akili kama unafikri chadema ina imarika
Muhimu ni kuongelewa Kwa CHADEMA na Kuteka mijadala yote,

Leo Mbowe anasafisha Hali ya hewa mambo yanaenda mbele.

Think positively.
 
Na mnadhani itaongeza wapiga kura? Kisha mtafute huruma ya jamii mmeibiwa kura?

Ifike mahali vyama vya upinzani viuze sera na kujenga mifumo imara na sio kujificha kwenye kichaka cha katiba mbovu na polisi.

Na hili wanalijua saana.
Waache wajidanganye. Kwenye Serikali za Mitaa wamepigwa mbaya sana halafu eti mwaka mmoja kabla eti unaeneza propaganda za kushinda uchaguzi?
 
Kwamba CCM wameshindwa uchaguzi mitaa Hadi wanaona Aibu kushangilia ushindi wa 99%?
 
Kitu unacho tiyari mkononi unashangilia nini sasa? Kabla ya uchaguzi tulipambana kweri kweri kupata vitongoji, vijiji na mitaa mingi na tumeipata. Sasa hivi hatuna muda wa kushangilia. Tunajipanga na Uchaguzi Mkuu 2025!
 
Hellow!

Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu.

CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi.

Na propaganda hii inaenda kuhitimishwa na Mbowe Leo akitangaza kukiunganisha chama Leo Kwa kutangaza ku.....

Mungu ibariki CHADEMA, CCM imesahaulika.

Karibuni 🙏
Chademas mnakaza kichwa kukubali kuwa kuna kitu hakipo sawa chamani
 
Kitu unacho tiyari mkononi unashangilia nini sasa? Kabla ya uchaguzi tulipambana kweri kweri kupata vitongoji, vijiji na mitaa mingi na tumeipata. Sasa hivi hatuna muda wa kushangilia. Tunajipanga na Uchaguzi Mkuu 2025!
Ushindi upi ilhali washindi fake wanahofia kukalia viti Kwa HOFU ya wananchi?
 
Back
Top Bottom