Mwisho wa kutoa majina ulikuwa 2011. Mwaka 2012 ndio ulioleta matokeo ya kushtusha ambayo yakawa reversed.Pole sana wapi au taarifa inakwambia miaka 3 hiyo alikuwa anafanya nn mtaan na vipi swala kurisit
Pia dr mwaka 2011 matokeo yalikuwa ni kwa njia ya namba so kama vipi aliyekupa hiyo taarifa mwambie akupe namba ya mtihani
Majina ilikuwa mwisho nadhan 2009
Hayo uonayo ni mchezo wa picha lakin haina ushahid qa kutisha kama kuonesha namba ya mtahiniwa