Programming Language ipi ni nzuri ?

day huyu jamaa buana nkajua anatushushia heavy-duty
 
Yote inategemea unataka ku achive nini! ila naungana na wewe python ni lugha rafiki kwa beginners haina complications kama c++, java n.k
Language nyingi syntax zinafanana so chagua moja ukijua basi rahisi kujifunza nyingine ila kama unataka kuwa deep c/c++ nzuri
 
umesahau php na html

Html inatengeneza app gani?
HTML sio computer programming language its a markup language.

Sijajua mnaposema "app" mnamaanisha nini ila html haitumiki huko yenyewe inatumika kutengeneza framework au skeleton ya website then css na javascript ndio zinakuja kuiremba na kuweka muonekano mzuri wa website!!

Hamna website inayotengezwa bila html!!
 
Siku hizi HTML5 na AngularJS zinatumika kutengeneza mobile apps kupitia Ionic framework
 
Siku hizi HTML5 na AngularJS zinatumika kutengeneza mobile apps kupitia Ionic framework
Nimekupata mkuu na niliposema html nilimaanisha versions zake zote...!!

All in all japo JS (even python) inaweza tengeneza mob apps ila the right and efficient tools for mobile apps development ni java ikifwatiwa na kotline may be na C++na C sharp!!
 
da wadau mmeiva kwenye IT hadi raha sio kila siku ku discuss mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…