mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,240
- 1,794
day huyu jamaa buana nkajua anatushushia heavy-dutyKatika karne hii Na ijayo Tukizungumzia hasa katika maswala ya Technologia ama Utandawazi Nimeona nizungumzie Baadhi ya programming language unazoweza kusoma kwa karne hii
1= C/C++
Hii hutumika sana katika kutengeneza GAME mbalimbali
Hii itasaidia sana kukuingizia kipato coz watu wengi hupenda sana kucheza Games haijalishi ni mtoto au mkubwa.
2=JAVA
Hii hutumika hasa katika kutengeneza Apps Mbalimbali za Android.Hii pia itakusaidia kukuingizia kipato. Ila hata C hutengeneza Apps japo hasa ni za IOS
hayo ni mawazo Yangu tu kama kuna mwenye wazo anaweza changia.
Ahsanteni.