Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,396
Hivi watanzania leo tumekosa upendo mpaka kufurahia wenzetu kukosa kazi??Mpaka sasa ni zaidi ya masaa 32 tokea Gavana Ndulu apewe agizo la kupunguza wafanyakazi. Ila kwa dharau na cha kushangaza hakuna aliyepunguzwa mpaka sasa wakati list ipo wazi kabisa....
Rais Magufuli, tunaomba ufatilie hili suala tena. Ndulu anafikiri we ni mtu wa maneno na sio kutenda..... Wananchi wote tunajua ya kwamba kauli ya Rais ni agizo kwa ngazi husika....
Haiwezekani zaidi ya masaa 32 mkuu wa taasisi anashindwa kutekeleza agizo la Rais....