Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,917
peleka mbege zako,muache mahufl afanye kazi yake,ndalichako ameahidiwa uzee wa kanisa
Hahaha
peleka mbege zako,muache mahufl afanye kazi yake,ndalichako ameahidiwa uzee wa kanisa
ndio keshakuwa waziri mtanyooka mwaka huu futari mwisho msogapeleka mbege zako,muache mahufl afanye kazi yake,ndalichako ameahidiwa uzee wa kanisa
ndio keshakuwa waziri mtanyooka mwaka huu futari mwisho msoga
Huyu ndalichako kwa sie tuliokuwa tunamlamikia alipokuwa kule necta naona sasa ndio atatutumbua zaidi
Mheshimiwa Raisi Magufuli anapitapita hapa Jf bila shaka.
Ulitakaje kwa mfano...
akachunge ngombe na Luwassa !
ndio keshakuwa waziri mtanyooka mwaka huu futari mwisho msoga
Nchi haijengwi kwa majungu ya udini...
Tutampiga kunuti tu, adui yetu tumemjua !