Daniel Abed Shauri
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 259
- 172
Mh!!! Hapa mama alitia fora.
Amesema ukweli kadri unavyozidi kupanua ndivyo watu wanazidi kutamaniKiswahili kina raha yake jamani.
Kama mwanadamu ni vizuri wakati mwengine ku refresh mind sio wakati wote ni sirious issue tu utakakamaa usoMada za watoto hizo mbona mnazipenda sana.
Mkuu mada za makinikia zinaumiza kichwa!Mada za watoto hizo mbona mnazipenda sana.