Prof. Political scientist kumuita Rais Magufuli fascist, kuna tatizo chadema!

Acha kuandika upupu alichokifanya Baregu Wazungu wanaita character assasination dhidi ya Rais wa JMTZ na mimi siwezi kukaa kimya kwani Baregu ni kilaza kama asingekuwa kilaza angeelewa ni nini maana ya fascism na wapi inapaswa kulitumia hilo neno!
Upupu ni nini hapa mimi siasema kafanya sahihi. nadhani wewe ni wa agano la kale mimi ni wa agano jipya si wa "jino kwa jino" kama wewe! unalazimisha watu wakubaliane na unachosema wakisema tofauti kazi yako kushambulia kama umetumwa!
 
Kama maana ya fascist ni hiyo ulioileta kutoka wikipedia, basi prof. Baregu yuko sahihi.
Wewe mtoa mada ungeomba kwa baregu atoe vigezo vinavyomfanya Magufuli kuwa fascist kisha ulete hoja za kupinga. Kulalamika kwa kawaida hakufuti ukweli.
 
Kuna mwalimu mmoja watu walipenda kumuita 'Boss'. kila mahalia aliitwa boss hadi watu wengi wasijue hasa jina lake halisi.
Maafisa wake wakamwita na kumhoji kwa nini anajiita boss na kwamaba aachae mara moa kuiita boss la sivyo angechukuliwa hatua
Mwalimu akasema kwa unyeyekevu. My bosses, I salute you, but I am sorry I cant do that unless you go and tell those who call me boss to stop doing so ...
Sasa ukisema Baregu hastahili kuitwa profesa inakuwaje? Nadhani unawashambulia indirectly waliompa uprofesa.

Hilo nalo ni neno inapaswa nihoji Mamlaka zilizompa Uprof/ PhD mtu kama huyu ambaye wala hajui na hawezi kujua kipi cha kuongea na kipi siyo cha kuongea na wapi, kila maamuzi yake yote (Kisiasa) yamekuwa ni failure tupu kuanzia kwenye Katiba mpaka kwenye kumpokea fisadi Lowasa ndiyo maana nchi zilizoendelea huwa watu wananyang'anywa Uprofesa/PhD baada ya kuchunguza na kugundua kwamba walidanganya wakati wanasoma aidha waliiba PhD thesis mahali wanaita plagiarims au waliandikiwa hivyo nina wasi wasi na Baregu kama hakufanya Plagiarism kwa maana mtu mwenye PhD Political (science) anapaswa kuelewa nini maana ya fascism na wapi hilo neno linapaswa kutumiwa!

Labda kuna sababu kwa nini UDSM walimuondoa inawezekana waliona kitu ambacho wengine chadema hamkioni!
 
Baregu ambaye ni Mwanasiasa wa kusomea, yaani fani yake ni Uanasiasa kama vile watu husomea Hisabati au Uchumi yeye kasomea Siasa ambao wanajiita kama Political scientists ingawaje kwangu siyo mascientist lkn hiyo ni mada nyingine, amemuita Raisi wetu Magufuli fascist, kwa wasiofahamu mafascist ni kama Kiongozi wa Italia Benito Mussolini au Adolf Hitler sasa kwanza natoa maana ya fascism (wikipedia)

Fascists believe that liberal democracy is obsolete, and they regard the complete mobilization of society under a totalitarian one-party state as necessary to prepare a nation for armed conflict and to respond effectively to economic difficulties.[7] Such a state is led by a strong leader—such as a dictator and a martial government composed of the members of the governing fascist party—to forge national unity and maintain a stable and orderly society.[7] Fascism rejects assertions that violence is automatically negative in nature, and views political violence, war, and imperialism as means that can achieve national rejuvenation.[8][9][10][11] Fascists advocate a mixed economy, with the principal goal of achieving autarky through protectionist and interventionist economic policies.

Je, Baregu anapata wapi uhalali wa kumuita Raisi wetu fascist? Hii ni haki kweli kumlinganisha Raisi Magufuli na Benito Mussolini? Hii chuki inatoka wapi halafu huyu anajiita Prof., ni Prof. gani hata asiweye kuwa na uwezo wa kupima anachokiongea kabla ya kukiongea?
Hivi Baregu ni lini mara ya mwisho alichapisha chochote kwenye jarida lolote lile la political scientists Duniani kwa maana napata shida kuelewa kama huyu kweli ana akili timamu!
Ndg kama udikteta unauelewa kwa mtazamo Wa vita umeishia shule ya uvccm

Kuna wanazuoni Wa mashariki,ulaya na America watakupata maana kulingana na kipindi ,mila na utamaduni wao sasa namimi nakupa maana ambayo tofauti na uliyogoogle

"Caesar was dictator,he was in charge of everything "
" The Rome church grew strong and powerful,but anyone who argued with the idea of the church was not a true christian,but heretic,and were put to death"

" in 1212 AD King John of England reigned by raising tax,and went against st the system of law,he punished people or nobles without trial!!

Tuambie lini Rais alipeleka hoja ya kuzuia bunge live?, lini alipeleka hoja bungeni ya kuhamisha pesa hizi ziende huku?, nani alikuambia Obama anaweza kuhamisha fedha hizi kupeleka kule?

Mwl Nyerere alisema lazima tuwe na katiba ambayo madikteta wakitawala tuweze kuwabana na kuwashitaki.

Udikteta ni kauli na vitendo
 
Hapa tunaongelea neno fascism/nazisms na siyo udikteta kwani kama Baregu angetaka kumaanisha kama ulivyomaanisha angetumia neno dikteta, lkn ametumia neno fascist, amesema Raisi wetu Magufuli ni fascist ambalo ni neno lililoasisiwa na Benito Musollini wa Italia ambaye ndiye alikuwa Mwalimu wa Adolf Hitler hivyo kwa kifupi Baregu anatuambia kwamba tunaishi kwenye nchi inayoongozwa na the likes of Mussolini na Hitler hiyo ndiyo maana ya fascisms/Nazism!
 
Huwezi ni kunilinganisha mimi na kilaza huyo, tangu ini kusomea Siasa kukakufanya uwe intelligent? Huyo Baregu ni kilaza na ndiyo maana ameshindwa kuchagua maneno ya kuongea, watu intelligent hupima maneno yao kabla ya kuyatoa, na ndiyo maana ameshindwa kuishauri chadema chochote kile kizuri na kuisogeza mbele!
Unaitendea haki taaluma yako ya ujinga. Mada ni yako mwenyewe kisha unaijaza ujinga, kweli una kipaji
 
Kwa sababu Raisi ameonyesha kuwa na hizo element, though hazitaweza kufanya kazi kwenye ambayo inafuata MIXED ECONOMY and MULTPARTISM.

Na ndiyo maana nasema Baregu ni kilaza na haelewi maana ya fascism/nazism kwa maana kama angeelewa maana yake asingethuibutu kumuita Raisi wetu Magufuli fascist halafu bado akaendelea kuishi nchi inayoongozwa na mfumo wa faschims!
 
Huwezi ni kunilinganisha mimi na kilaza huyo, tangu ini kusomea Siasa kukakufanya uwe intelligent? Huyresear ni kilaza na ndiyo maana ameshindwa kuchagua maneno ya kuongea, watu intelligent hupima maneno yao kabla ya kuyatoa, na ndiyo maana ameshindwa kuishauri chadema chochote kile kizuri na kuisogeza mbele!
Easier said than done, unamuita Prof. Kilaza, mwenzio ameandika na anatambulika kwa taaluma yake, waweza kuta wewe huna hatha cheti, let alone scientific papers zenye ushawishi kwa wanataaluma na society.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Baregu ambaye ni Mwanasiasa wa kusomea, yaani fani yake ni Uanasiasa kama vile watu husomea Hisabati au Uchumi yeye kasomea Siasa ambao wanajiita kama Political scientists ingawaje kwangu siyo mascientist lkn hiyo ni mada nyingine, amemuita Raisi wetu Magufuli fascist, kwa wasiofahamu mafascist ni kama Kiongozi wa Italia Benito Mussolini au Adolf Hitler sasa kwanza natoa maana ya fascism (wikipedia)

Fascists believe that liberal democracy is obsolete, and they regard the complete mobilization of society under a totalitarian one-party state as necessary to prepare a nation for armed conflict and to respond effectively to economic difficulties.[7] Such a state is led by a strong leader—such as a dictator and a martial government composed of the members of the governing fascist party—to forge national unity and maintain a stable and orderly society.[7] Fascism rejects assertions that violence is automatically negative in nature, and views political violence, war, and imperialism as means that can achieve national rejuvenation.[8][9][10][11] Fascists advocate a mixed economy, with the principal goal of achieving autarky through protectionist and interventionist economic policies.

Je, Baregu anapata wapi uhalali wa kumuita Raisi wetu fascist? Hii ni haki kweli kumlinganisha Raisi Magufuli na Benito Mussolini? Hii chuki inatoka wapi halafu huyu anajiita Prof., ni Prof. gani hata asiweye kuwa na uwezo wa kupima anachokiongea kabla ya kukiongea?
Hivi Baregu ni lini mara ya mwisho alichapisha chochote kwenye jarida lolote lile la political scientists Duniani kwa maana napata shida kuelewa kama huyu kweli ana akili timamu!
Umejitahidi ukaingia na wikipedia ukatutoholea tafsiri ya "fascim" bado hujaelewa sasa unataka tukusaidiaje?! Hebu isome tena tafsiri hiyo kisha ujaribu kuwianisha na kinachoendelea nchini kwa sasa, be as objective as possible, usiingize ushabiki wa kisiasa au utashi wako binafsi,
utaiona maana ya prof Baregu kisha na
wewe utoe uchambuzi wako kwa nini
unafikiri prof amekosea. Avoid blanket
conclusions kwamba kwa kuwa mtu kasema
usichokipenda basi hayuko sahihi katika upana wa mada.
 
Kingereza kigumu. . Mi nadhani bar Rosa ungeandika kwa Kiswahili tafsiri ya fascist ungepata maana mapema kabla hujaleta Uzi kipofu hapa.
 
Umejitahidi ukaingia na wikipedia ukatutoholea tafsiri ya "fascim" bado hujaelewa sasa unataka tukusaidiaje?! Hebu isome tena tafsiri hiyo kisha ujaribu kuwianisha na kinachoendelea nchini kwa sasa, be as objective as possible, usiingize ushabiki wa kisiasa au utashi wako binafsi,
utaiona maana ya prof Baregu kisha na
wewe utoe uchambuzi wako kwa nini
unafikiri prof amekosea. Avoid blanket
conclusions kwamba kwa kuwa mtu kasema
usichokipenda basi hayuko sahihi katika upana wa mada.

Baregu amemuita Raisi wa JMTZ fascist ina maana tunaishi kwenye nchi inayofwata mfumo wa fascism kulingana na Baregu, sasa kama hiyo ni kweli iweje yeye Baregu bado yuko hai na anaishi kwa amani kabisa, anafanya siasa zake za kitapeli bila ya bugudha yoyote?
Ndiyo maana nasema Baregu kama political (scientist) alipaswa alijue hili klk mtu mwingine yoyote yule, kushindwa kulijua hili inaniachia maswali mengi klk majibu kuhusu uwezo wa Baregu !
 
Back
Top Bottom