baregu tangu siku nyingi ni mwanasiasa mchumia tumbo. baadhi ya uchambuzi na matamko yake ni ya kisiasa kuliko taaluma yake ya political scientist. ukiona jinsi alivyoshupalia katiba ya kuvunja muungano ya warioba na alivyokua mstari wa mbele kumpokea lowassa cdm utaona ni mwanasiasa tu kama mbowe hakuna taaluma ya political science yenye maslahi ya umma.Baregu ambaye ni Mwanasiasa wa kusomea, yaani fani yake ni Uanasiasa kama vile watu husomea Hisabati au Uchumi yeye kasomea Siasa ambao wanajiita kama Political scientists ingawaje kwangu siyo mascientist lkn hiyo ni mada nyingine, amemuita Raisi wetu Magufuli fascist, kwa wasiofahamu mafascist ni kama Kiongozi wa Italia Benito Mussolini au Adolf Hitler sasa kwanza natoa maana ya fascism (wikipedia)
Fascists believe that liberal democracy is obsolete, and they regard the complete mobilization of society under a totalitarian one-party state as necessary to prepare a nation for armed conflict and to respond effectively to economic difficulties.[7] Such a state is led by a strong leader—such as a dictator and a martial government composed of the members of the governing fascist party—to forge national unity and maintain a stable and orderly society.[7] Fascism rejects assertions that violence is automatically negative in nature, and views political violence, war, and imperialism as means that can achieve national rejuvenation.[8][9][10][11] Fascists advocate a mixed economy, with the principal goal of achieving autarky through protectionist and interventionist economic policies.
Je, Baregu anapata wapi uhalali wa kumuita Raisi wetu fascist? Hii ni haki kweli kumlinganisha Raisi Magufuli na Benito Mussolini? Hii chuki inatoka wapi halafu huyu anajiita Prof., ni Prof. gani hata asiweye kuwa na uwezo wa kupima anachokiongea kabla ya kukiongea?
Hivi Baregu ni lini mara ya mwisho alichapisha chochote kwenye jarida lolote lile la political scientists Duniani kwa maana napata shida kuelewa kama huyu kweli ana akili timamu!
teh teh na wewe jina bandia.Ameshaongea na wewe ongea ya kwako.Yeye ni profesa tena kaongea hadharani.Wewe mbona wajificha na majina bandia
Ndo maana sijajifananisha au kumbeza Bareguteh teh na wewe jina bandia.
Acha kujilinganisha na Baregu sio saizi yako,saizi yako ni sie wenye majina bandia wenzio.Mkuu mbona unawaza matako tu kila wakati Utakuwa una undugu na FakiNjoo kwanza wewe na jina lako halisi tako wewe!
Mkuu badala ya kulalama... Basi na wewe define unavyoona style ya magu kwa matazamo wako ili ku counter. Unalalama sana lakini unashindwa kumsahihisha prof.Baregu ambaye ni Mwanasiasa wa kusomea, yaani fani yake ni Uanasiasa kama vile watu husomea Hisabati au Uchumi yeye kasomea Siasa ambao wanajiita kama Political scientists ingawaje kwangu siyo mascientist lkn hiyo ni mada nyingine, amemuita Raisi wetu Magufuli fascist, kwa wasiofahamu mafascist ni kama Kiongozi wa Italia Benito Mussolini au Adolf Hitler sasa kwanza natoa maana ya fascism (wikipedia)
Fascists believe that liberal democracy is obsolete, and they regard the complete mobilization of society under a totalitarian one-party state as necessary to prepare a nation for armed conflict and to respond effectively to economic difficulties.[7] Such a state is led by a strong leader—such as a dictator and a martial government composed of the members of the governing fascist party—to forge national unity and maintain a stable and orderly society.[7] Fascism rejects assertions that violence is automatically negative in nature, and views political violence, war, and imperialism as means that can achieve national rejuvenation.[8][9][10][11] Fascists advocate a mixed economy, with the principal goal of achieving autarky through protectionist and interventionist economic policies.
Je, Baregu anapata wapi uhalali wa kumuita Raisi wetu fascist? Hii ni haki kweli kumlinganisha Raisi Magufuli na Benito Mussolini? Hii chuki inatoka wapi halafu huyu anajiita Prof., ni Prof. gani hata asiweye kuwa na uwezo wa kupima anachokiongea kabla ya kukiongea?
Hivi Baregu ni lini mara ya mwisho alichapisha chochote kwenye jarida lolote lile la political scientists Duniani kwa maana napata shida kuelewa kama huyu kweli ana akili timamu!
Baregu ambaye ni Mwanasiasa wa kusomea, yaani fani yake ni Uanasiasa kama vile watu husomea Hisabati au Uchumi yeye kasomea Siasa ambao wanajiita kama Political scientists ingawaje kwangu siyo mascientist lkn hiyo ni mada nyingine, amemuita Raisi wetu Magufuli fascist, kwa wasiofahamu mafascist ni kama Kiongozi wa Italia Benito Mussolini au Adolf Hitler sasa kwanza natoa maana ya fascism (wikipedia)
Fascists believe that liberal democracy is obsolete, and they regard the complete mobilization of society under a totalitarian one-party state as necessary to prepare a nation for armed conflict and to respond effectively to economic difficulties.[7] Such a state is led by a strong leader—such as a dictator and a martial government composed of the members of the governing fascist party—to forge national unity and maintain a stable and orderly society.[7] Fascism rejects assertions that violence is automatically negative in nature, and views political violence, war, and imperialism as means that can achieve national rejuvenation.[8][9][10][11] Fascists advocate a mixed economy, with the principal goal of achieving autarky through protectionist and interventionist economic policies.
Je, Baregu anapata wapi uhalali wa kumuita Raisi wetu fascist? Hii ni haki kweli kumlinganisha Raisi Magufuli na Benito Mussolini? Hii chuki inatoka wapi halafu huyu anajiita Prof., ni Prof. gani hata asiweye kuwa na uwezo wa kupima anachokiongea kabla ya kukiongea?
Hivi Baregu ni lini mara ya mwisho alichapisha chochote kwenye jarida lolote lile la political scientists Duniani kwa maana napata shida kuelewa kama huyu kweli ana akili timamu!
Acha kujilinganisha na Baregu sio saizi yako,saizi yako ni sie wenye majina bandia wenzio.Mkuu mbona unawaza matako tu kila wakati Utakuwa una undugu na Faki
Mkuu, Umetoa tafsiri, hiyo sawa. ili kujenga hoja yako ungezitaja sifa za Magufuli na jinsi zinavyotofautiana na hiyo tafsiri au sifa za mafashisti. kisha ungehitimisha kwa kusema Prof kakosea.
thinking yako pia iweke sawa; scientist wewe unaielewa kwa maana gani hapa sijui una maana ya fizikia, hisabati kemia n.k.?
na Je, una maana walioita hiyo taaluma political scientist walikosea!
Ikiwa ni hivo basi ungefanya research na kuandika chapisho lako watu wakasoma.
Kama sisi humu ni ma great thinkers kweli ni kwa nini hatujengi hoja na badala yake tuna attack watu aidha kwa sifa zao au hata maumbile yao. mfano huyu mwalimu! mwanasiasa! dokta! ...
Mtu akisema X ni mchawi tunaweza kuanza kufikiri ah! ni kwa nn kamwita mchawi ni mambo gani X anafanya hadi afikiriwe mchawi na je, mtu ana imani gani hadi amwite mwenzake mchawi?
Acha jazba, mmeshakunywa viroba hapo Lumumba.Njoo kwanza wewe na jina lako halisi tako wewe!