MIKERA MECH. ENGINEERING
Senior Member
- Mar 15, 2016
- 118
- 87
Ngoja nikuache yawezekana unamjua sana kuliko sisi familia yake ila sisi ni wagogo mkuu huo usukuma hatunao.Kusome
a Mazengo siyo hoja, Ni MSUKUMA pure
Ngoja nikuache yawezekana unamjua sana kuliko sisi familia yake ila sisi ni wagogo mkuu huo usukuma hatunao.Kusome
a Mazengo siyo hoja, Ni MSUKUMA pure
A.K.A sungu sunguUtawala wa kisukuma huu tayari.
Wamekukosea nini aisee. Dah, akili finyu sana. , ndio maana waafrika hatuishi kuuwana huku dunia iikitucheka.Nilisukuma hilo angalia jina la mwisho tena la kinyamwezi
Ulitaka afanyaje mkuu? Na unahisi yeye ndio alikwamisha huo mchakato?Huyu huyu palamagamba nikimkumbuka jinsi alivyo toa mapovu wakati akitetea rasim ya katiba ya warioba na baadae kuwa baridi kama maji ya mtungi!! Onashangaza sana
He is our next president after 10 year of MagufuliWakuu habari ya wakati huu poleni na majukumu yenu!!
Samahani najua huenda huyu mtu niliemtaja hapo juu humu ndanj ameshawahi kuzungumzwa. Ningependa kama kuna mtu ama watu waweze kumuelezea kidogo hasa Wasifu wake pia bila kusahau ni mwenyeji wa wapi sina nia mbaya ila ningependa tu kujifunza pengine na wengine wajifunze..
Nikiwa mwanafunzi wa UDSM kipindi kifupi kilichopita huyu bwana nilimfahamu sana kama Dean of ceremony! Katika events nyingi yeye ndio alikuwa kama MC nilifurahia sana uwezo wake wa lugha adhimu ya malkia na mbwembwe zake..
Pia alikuwa ni Senior lecture pale University of Dar es salaam school of law.. Na pia nilipata kusikia japo sikuwa na ushahidi Kuwa ndio alikuwa Mwanasheria wa Chuo..
Binafsi nilikuwa nikitamani sana aje Kuwa Vice Chancellor baada ya Prof. Mukandara kumaliza muda wake!!!
Samahani naomba mtu anaemfaham Vizuri hasa wasifu wake na ni mzaliwa au mwenyeji wa wapi anakaribishwa na tanguliza shukrani za dhati....