Hamis Abeid mr amazing
Member
- Jan 15, 2017
- 12
- 15
- Thread starter
- #41
Haya banaKweili ni nyie ni magamba check mlivyotoa macho kwenye picha

Mwalimu ni mwalimu tuKwahiyo hiyo ndio Last card na mnakubali kuwa madakta woote waliopo bungeni wamemshindwa Lissu. .........
Siasa ni game ya kuviziana. ..sidhani kama prof anaweza cheza hiyo league. .....mind you Lissu is the Premier League material
kashaingizwa kwenye siasa za magufuli na ccm imekula kwakwe................ kwisha habari yuko wapi mchumi wetu aliyebobea prof lipumba ............kikikiki saa hizi anamangamanga uchumi upo kwanye briefcase...siasa za tz zinatuulia taaluma za wasomi wetuProf Palamagamba Kabudi mtaalam wa sheria Afrika na duniani ambae alikuwa ni Lecturer wa sheria UDSM pia mwanasheria mkuu wa chuo UDSM.
Anaenda kulitumikia Taifa lake ndani ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mimi naweza sema Prof anaenda kuwa mwarobaini kwa wanasiasa wafanya fujo za kisheria.
Rais DR JPM siku zote huwa anafanya maamuzi ya busara sana ya kuchagua watu wenye uweledi mkubwa wa kazi, kwa hilo DR JPM tunampongeza sana.
Ndugu yangu Mh Tundu Lissu natumai umepokea uteuzi huu kwa kuraha sana maana mwalimu wa sheria mmeletewa bungeni, hivyo mtakapo kwama msisite kumwomba ushauri.
UDSM tunakuombea mema Prof Kabudi katika safari yako hii mpya ya kuwatumikia WaTanzania.
Mungu ibariki Tz
Mungu ibariki UDSM.
hamis abeid (mr amazing)View attachment 460802
Lakini anapokua upande wa ccm anakua mwanafunzi na sio mwalimuMwalimu ni mwalimu tu
Kuna SIASA. Na kuna TUMBO.Kwa siasa zilivyo lazima mumshangae
Kulikua na haja gani ya kuweka picha ya huyo dogo anayetoa macho kama hajala siku nne??Prof Palamagamba Kabudi mtaalam wa sheria Afrika na duniani ambae alikuwa ni Lecturer wa sheria UDSM pia mwanasheria mkuu wa chuo UDSM.
Anaenda kulitumikia Taifa lake ndani ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mimi naweza sema Prof anaenda kuwa mwarobaini kwa wanasiasa wafanya fujo za kisheria.
Rais DR JPM siku zote huwa anafanya maamuzi ya busara sana ya kuchagua watu wenye uweledi mkubwa wa kazi, kwa hilo DR JPM tunampongeza sana.
Ndugu yangu Mh Tundu Lissu natumai umepokea uteuzi huu kwa kuraha sana maana mwalimu wa sheria mmeletewa bungeni, hivyo mtakapo kwama msisite kumwomba ushauri.
UDSM tunakuombea mema Prof Kabudi katika safari yako hii mpya ya kuwatumikia WaTanzania.
Mungu ibariki Tz
Mungu ibariki UDSM.
hamis abeid (mr amazing)View attachment 460802
Mmeanza yale masifa mliyozoea wakati wa kupigina upatu. Sasa ndio wakati wa kuon ajinsi gani watanzania hawawezi unganisha taaluma na uhalisia katika maisha. Hata lipumba mliongezea mchumi aliyebobea duniani. Sasa hivi yupo busy kufanya kazi chafu kama mzibua vyoo.Muhongoa nae mlipiga kelele sana ila sasa hivi anashikiliwa na system, kamaliza visingizio vyote.Prof Palamagamba Kabudi mtaalam wa sheria Afrika na duniani ambae alikuwa ni Lecturer wa sheria UDSM pia mwanasheria mkuu wa chuo UDSM.
Anaenda kulitumikia Taifa lake ndani ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mimi naweza sema Prof anaenda kuwa mwarobaini kwa wanasiasa wafanya fujo za kisheria.
Rais DR JPM siku zote huwa anafanya maamuzi ya busara sana ya kuchagua watu wenye uweledi mkubwa wa kazi, kwa hilo DR JPM tunampongeza sana.
Ndugu yangu Mh Tundu Lissu natumai umepokea uteuzi huu kwa kuraha sana maana mwalimu wa sheria mmeletewa bungeni, hivyo mtakapo kwama msisite kumwomba ushauri.
UDSM tunakuombea mema Prof Kabudi katika safari yako hii mpya ya kuwatumikia WaTanzania.
Mungu ibariki Tz
Mungu ibariki UDSM.
hamis abeid (mr amazing)View attachment 460802
Prof Palamagamba Kabudi mtaalam wa sheria Afrika na duniani ambae alikuwa ni Lecturer wa sheria UDSM pia mwanasheria mkuu wa chuo UDSM.
Anaenda kulitumikia Taifa lake ndani ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mimi naweza sema Prof anaenda kuwa mwarobaini kwa wanasiasa wafanya fujo za kisheria.
Rais DR JPM siku zote huwa anafanya maamuzi ya busara sana ya kuchagua watu wenye uweledi mkubwa wa kazi, kwa hilo DR JPM tunampongeza sana.
Ndugu yangu Mh Tundu Lissu natumai umepokea uteuzi huu kwa kuraha sana maana mwalimu wa sheria mmeletewa bungeni, hivyo mtakapo kwama msisite kumwomba ushauri.
UDSM tunakuombea mema Prof Kabudi katika safari yako hii mpya ya kuwatumikia WaTanzania.
Mungu ibariki Tz
Mungu ibariki UDSM.
hamis abeid (mr amazing)View attachment 460802
Ndugu yangu usiliwazwe na misemo ya kujifariji io.walimu wengine vimeo wanafunzi wanafauru kwa juhudi zao binafsi.Mwalimu ni mwalimu tu
Tehehehe hehe, alikuja na "madesa" gani mkuu.?Aliturostisha kwenye kesi ya mgombea binafsi alipoitwa kama friend of the court mahakamani akaongea utumbo mpaka tukakosa mgombea binafsi sidhani kama amebakiza jambo la maana kwa wananchi
Umenena. Kwa kifupi ningeshauri wanapokuwa wanasiasa wasiitwe Profesa au ikibidi basi waitwe Professa wastaafu kusudi anapoacha siasa akili zake zikarejea tena kama za zamani ndo aitwe tena Professa.Maadamu anaingia kisiasa hakuna utalaamu tena
Tumpe muda, ni mtu makini sana kupata kutokea
Mwalimu ni mwalimu tu
Ni lini umeanza kufuatilia siasa za Tanzania na Afrika kwa jumla?!Never sio kwa huyu
Umempandisha sana chati Kaka Lissu, lakini sidhani kama analingana na viwango ulivyompa.Ni LAZIMA Tundu Lissu afurahie uteuzi wa Profesa Kabudi kwa sababu ni rahisi sana kumfanya Profesa Kabudi aanike ujinga wake hadharani kuliko vile anavyoweza kuonesha weledi wake!!
Sote tunakumbuka kwamba wakati Profesa Kabudi akiwa Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, alisimama kidete kutetea serikali tatu!!!
Huu ni wakati wa akina Tundu Lissu kufahamu ikiwa Kabudi nae ni Profesa ambae maoni na maono yake yanaegemea uelekeo wa tumbo lake au yanaegemea uelekeo mfumo wake wa fahamu wenye kazi ya kuona what's wrong and what's right na kutamka hadharani kutokana na kile unachokiamini!!!
Nasikitika anenda kuwa kibaraka wa watawala kwa kuitikia ndiooo kwa vitu vyenye maslahi ya ccm na sio taifaProf Palamagamba Kabudi mtaalam wa sheria Afrika na duniani ambae alikuwa ni Lecturer wa sheria UDSM pia mwanasheria mkuu wa chuo UDSM.
Anaenda kulitumikia Taifa lake ndani ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mimi naweza sema Prof anaenda kuwa mwarobaini kwa wanasiasa wafanya fujo za kisheria.
Rais DR JPM siku zote huwa anafanya maamuzi ya busara sana ya kuchagua watu wenye uweledi mkubwa wa kazi, kwa hilo DR JPM tunampongeza sana.
Ndugu yangu Mh Tundu Lissu natumai umepokea uteuzi huu kwa kuraha sana maana mwalimu wa sheria mmeletewa bungeni, hivyo mtakapo kwama msisite kumwomba ushauri.
UDSM tunakuombea mema Prof Kabudi katika safari yako hii mpya ya kuwatumikia WaTanzania.
Mungu ibariki Tz
Mungu ibariki UDSM.
hamis abeid (mr amazing)View attachment 460802
Jaribu pia kuliangalia hili jambo kwa kina kabisa,huyu ni mtu wa tatu sasa kwenye TUME YA WARIOBA analamba UTEUZI.Prof Palamagamba Kabudi mtaalam wa sheria Afrika na duniani ambae alikuwa ni Lecturer wa sheria UDSM pia mwanasheria mkuu wa chuo UDSM.