theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,658
Bila umoja wa wana DARUSO wanafunzi wengi wa vyuo mbalimbali hapa nchini Tanzania wangeli teseka Sana Hongereni sana wana daruso kwa umoja wenu
Ndalichako ni Mama jasiri. Anatosha sana. Tatizo serikali yote haina fedha, sasa mnataka afanyaje?. Inni la tatizo liko pale karibu na IFM, sio Ndalichako
Kipaumbele ni kununua Bombadia Keshi. Elimu mlikataa ya bure kwa hiyo inaonekana pesa mnayo.sasa kama serikali haina hela na yy ni mtu jasiri kwa nn asiutangazie umma ili yeye aondokane na hizo lawama???????
Mkuu chukua tano kwanzaAliyesema watu wananunua tv na pombe ni nani? Tuanzie hapo kabla hajarusha lawama kwenye board
Halafu Mswada Ukishapitishwa na Kusainiwa na Rais,Boom Linaachiwaaa...eti?Naona wazee wa pale Makumbusho wanafanya kazi kweli kweli...hili la mikopo tutalijadili kule wanafunga goli la kisigino kwenye muswada wa upatikanaji wa habari..Safi sana
Atuna pakukimbilia eee mungu tuokoe mackinNakumbushia tu
Uchaguzi wa mwaka jana 2015 tulipewa option mbili kwenye suala la Elimu
(1). ELIMU BURE MPAKA CHUO KIKUU
(2). ELIMU BURE MPAKA FORM FOUR
watanzania waliowengi walichagua elimu bure mpaka form four labda walijipanga nakuona Elimu kuanzia Advanced mpaka chuo kikuu wanaweza kujigaramia. Nashindwa kuelewa ivi haya malalamiko yanayotolewa kwa wanafunzi zaidi ya 66 elfu kukosa mkopo yanatoka wapi.
Mkuu nchi hii ni ya matukio..Huoni baada ya watu kupaza sauti wameachia..nani anajadili tena muswada? Supu ya mbwa hunywewa ikiwa ya moto..Halafu Mswada Ukishapitishwa na Kusainiwa na Rais,Boom Linaachiwaaa...eti?
AibuuuuuuuSafi DARUSO sasa sijui tawi la UVCCM (TAHLISO) wamefika wapi