Prof. Muhongo Watanzania Tutakukumbuka

Aende huko prof:gani nchi yaibiwa kapiga kimya itakuwa na yeye anatabia ya mkono mkono ndio mana jeuri, akome sasa
 
Mkuu huyu Prof Muhongo ni mwenyekiti wa wabunge wa Mkoa wa Mara. Wafadhili wa nje walimpa vitabu vya sekondari vya sayansi alichokifanya aligawa vitabu hiyo kwenye majimbo yote bila kujali chama, ujue mkoa wa Mara majimbo 5 yako chini ya Chadema
Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom