Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,128
huyu hana credibility ya kuongea chochote akaaminika.
Mtotl wa kiume kuwa na tabia za kike ni hatari.. wewe na yy nani msomi??? Kwa vyovyote vile hauna elimu.. siasa haimuondolei mtu uprofesa wake...
hujui kiingereza kakaLipumba has reach a point of diminishing marginal return.
Nani amethibitisha kuwa tumedanganywa na ACACIA so far? Huyu Propesa juzi alianza na kuwa kinyume kwa approach tunayoenda nayo kwenye hili jambo, baada ya kuona wameanza kukusanywa wazee wa Dar es Salaam, naye amejiunga kusaka fursa kama kawaida yake. Apuuzwe..anasema hisa za ACACIA katika soko la dunia zimeanguka kwa asilimia 40, pamoja na kwamba wanafanya kazi na watu wakubwa na makampuni makubwa duniani. anasema kamati iliyoundwa na rais ilikuwa ni ya wataalam bobezi maana ni ma professor na madaktari zamivu kwenye eneo hilo. kwamba kamati hiyo imeibua mjadala ni wajibu sasa kwa taifa kujadili jambo hili la rasilimali za nchi kwa kina zaidi.
updates.1
anasema tume imetufungua macho, tuanzie hapo.
= = PROF anasema pamoja na hoja za msingi kuhusu KUBADILISHA SHERIA ZA MIKATABA ZILIZOPO SASA LAKINI KAMPUNI YOYOTE HAITAKIWI KUDANGANYA KAMA AAMBAVYO ACCACIA WAMETUDANGANYA SISI TANZANIA
fuatilia
Hivi ni nani aliyeturoga? Hivi kuna watz ambao leo ndio wamefunguliwa macho na kamati kuhusu tunavyopigwa kwenye madini? Kweli nchi hii imenitukusanya wajinga wengi na ndio maana leo TL kuna watu hawaelewi anachoeleza!Ona watu wanavomcrush MTU anaeongelea suala lenye maslahi kwa taifa, wabongo tuache huu ujinga wa kujiwangia wenyewe.
Sasa kama makosa yalifanywa siku nyingi na uongozi uliopita ndio Magufuli asisahihishe? Hata kama itakuwa kesi, msisikilize tu upande wa tundu lissu, kwamba tutashindwa, angalieni na namna serikali itaweza kushinda iyo kesi na kureverse huo mkataba uwe na manufaa zaidi kwa taifa.
Hiyo kamati yenyewe imetufungua sana macho, namna gani tulikuwa tunaibiwa.
Wabongo hatuoni hilo ni kupondea tu. Nimewaza sana, huenda ikawa tunaishi na mashetani huku, na ni Mungu amekuwa anatuepusha maana yakiishiki hii nchi tutakoma.
Sasa embu jiulize tundu lissu na team yake wangeshika madaraka, tungeyajua haya? Au wangeogopa kesi wakae kitako na hao maboss wa acacia wakatiwe vyao issue iwekwe chini ya kapeti.
Unaweza kukuta wewe shule yako ni ya hapa na pale halafu unasema fulani hana hadhi ya Uprofesa. Bongo zaidi ya uijuavyo. Kila mtu mjuaji.Anaongea kama alivyoelekezwa na anaowatumikia kwa sasa hana hadhi ya uprofesa
Lissu anakwambia wangeanza na sheria. Sio mchanga. Mbona inaelewekaOna watu wanavomcrush MTU anaeongelea suala lenye maslahi kwa taifa, wabongo tuache huu ujinga wa kujiwangia wenyewe.
Sasa kama makosa yalifanywa siku nyingi na uongozi uliopita ndio Magufuli asisahihishe? Hata kama itakuwa kesi, msisikilize tu upande wa tundu lissu, kwamba tutashindwa, angalieni na namna serikali itaweza kushinda iyo kesi na kureverse huo mkataba uwe na manufaa zaidi kwa taifa.
Hiyo kamati yenyewe imetufungua sana macho, namna gani tulikuwa tunaibiwa.
Wabongo hatuoni hilo ni kupondea tu. Nimewaza sana, huenda ikawa tunaishi na mashetani huku, na ni Mungu amekuwa anatuepusha maana yakiishiki hii nchi tutakoma.
Sasa embu jiulize tundu lissu na team yake wangeshika madaraka, tungeyajua haya? Au wangeogopa kesi wakae kitako na hao maboss wa acacia wakatiwe vyao issue iwekwe chini ya kapeti.
Alikwambia uje uchangie hivi nn??Huyo ndio mwanachumi mkubwa Tanzani.
Mkichukua akili zenu Bavicha mkichanganya na mwenyekiti wenu hamfikii hata robo ya akili ya Proff.
Kabla hujapost kitu huwa unatumiaga kiungo gan cha mwili kufikiria? Punguza kiherehere si lazma ukoment kila kitu kinachokuja mbele yako by the way jina la ID yako linaendana na elimu yakoUnaweza kukuta wewe shule yako ni ya hapa na pale halafu unasema fulani hana hadhi ya Uprofesa. Bongo zaidi ya uijuavyo. Kila mtu mjuaji.
Kibaraka wa wazungu weye hatakufurahisha msema kweli prof.Kibaraka wa ccm atamfurahisha baba yake!