Wewe nawe tafuta kazi za kufanya hizo zilipendwa.Tanzania ni nchi ya ajabu unakuta Pro wa chuo naye ni chawa badala ya kujibu hoja!. Kama huna jibu sema hujui sio kuuliza swali badala ya kujibu!
1. Mkataba wa DP World ni wa miaka mingapi? wa muda gani?
2. DP world inapataje mapato yake kwenye mkataba? Yaani ni tozo zipi na asilimia ngapi zinaenda kwa DP world
Prof Kitila: Waliopinga DP World Wakiri Mafanikio Yake Hadharani
My Take Kwenye suala la uwekezaji wa DP World Bandari ya Dar,Rais Samia alikuwa mbele ya muda 👇👇 https://www.instagram.com/reel/DB08yeQiqdj/?igsh=ajQzOWQ3N20ybTht https://www.instagram.com/p/DB0pZv_KOQh/?igsh=MWZmdHIzeTJocTlveA==...www.jamiiforums.com