Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,692
- 2,346
Itaharibikaje?Mkianza kutekeleza hiyo ppp ndiyo nchi itakapo haribikia hapo, kujitoa hamtaweza maana nchi itakua siyo ya kwenu tena! Si muliunda mahakama ya mafisadi? Huko ndiko Hela zinakopotelea. Mkianza kukabidhi uchumi Kwa watu binafsi Hakuna nchi tena hapo. Ninayo mengi, ila ngoja nikae palee save hii msg.