Huyo mpumbavu ndio muasisi wa ujinga huu..Mtanikumbuka 😂
Yap..Wanaccm , walikaa kimya, hawakuweza kumfokea na kukemea
Na watu waliwambia kuwa jiotoeni ok tutalinda kulaWa kulaumiwa ni Mbowe na wasaidizi wake kwa kukubaliana na kiini macho kinachoitwa maridhiano , hakuna Dola ambayo inakubali kutoka madarakani kirahisi haswa hapa kwetu kwenye bara la giza.
Mbowe baada ya kutoka gerezani hakupaswa kwenda Ikulu bali alipaswa kuanza kuwasha moto wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi , movement ambayo ilipaswa kuna ni Non-stop mpaka 2025.
Haya oneni sasa mnavyofanyiwa vitimbi
Yeye ndiyo muanzilishi wa UCHAFUZI wa kuengua wagombea wa upinzani.Mtanikumbuka 😂
Pole pole alishwahi kusema ili tuendelee inabidi tufundishane adabu ,kwa mwendo huu mkiendelea kulialia tu mitandao mtapelekeshwa hadi mwisho wa dunia ,inatakiwa mvunje gap(inabidi mfundishane adabu then ndiyo mtaheshimiana).Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo la mikumi. Mungu ibariki Tanzania.
====
Wagombea wote wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa majina yao yameenguliwa.
Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani Kilosa la sivyo tusije kulaumiana. - Joseph Haule M/kiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa.
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ni msiba.
Ivi afrika ni laana au nn hasa
Ndo ile laana ya kizazi cua 3 mpaka cha 4.
Inawezekana maana, tunashida sana
Inawezekana mkuu
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."Mtu mweusi ni kiumbe hatari sana ikiwa Mungu angemzidishia japo tone la utashi, hata Shetani angeisoma namba.
Inawezekana mkuu
Watu waliokuwa wanataka kuchezea katiba baada ya kifo Cha Magufuli walikuwa sahihi.Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo la mikumi. Mungu ibariki Tanzania.
====
Wagombea wote wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa majina yao yameenguliwa.
Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani Kilosa la sivyo tusije kulaumiana. - Joseph Haule M/kiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa.
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo la mikumi. Mungu ibariki Tanzania.
====
Wagombea wote wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa majina yao yameenguliwa.
Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani Kilosa la sivyo tusije kulaumiana. - Joseph Haule M/kiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa.
Kupata matukio yote kimkoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Yule kichaa wa chattle!Sintaacha kumlaani Magufuli wa chato ambaye ndiye muasisi wa huu upumbuvu. Lakini chura kiziwi awe makini na haki za wananchi yaliyomkuta magufuli definitely sote ni mashahidi.
Huwezi ukachezea haki za watu Mungu asiamue huo "ugomvi" kwa njia ya utulivu