Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Ungemuacha tu ameandika Upupu mwingi nadhani ni mwandishi tu mzuri ila hana hoja
Wengi wanamwona Prof kwenye TV
Janabi mara zote anasisitiza healthy lifestyle
Sasa mtu anabisha foamy urine sio alert ya Renal diseases
Foamy urine can be an alert for a kidney disease.

BUT Not necessarily a symptom for a kidney disease.

Remember keyword…“can be” and not “is”

Foamy urine can be a sign of a kidney disease ONLY if with other symptoms.

Kaazi kweli kweli.
 
Mleta mada mwenyewe kaleta bandiko bila facts,bila scientific evidence, bila research.
 
Umewahi kufua Nguo??
Basi ukiweka foma au Sabuni ya Omo bhasi Kiasi cha mkojo huwa hivyo..
Sio Bubbles ambazo zinatokea Kulingana na Speed ya mkojo hapana..

Buble kama ukiweza kukojoa bhasi huwa zinapotea ndani ya Dakika Moja mpaka Mbili ila Mkojo wenye povu hubaki mpaka hata Dakika kumi
Kumbe lile povu la dk 1 hadi 2 halina shida, maana nilianza kuingia ganzi.
 
Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Research and Medical Health Studies..

Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..

kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??

Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?

Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..

Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..


Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???

Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..

Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
Je kila mtu ale kipande kimoja ya muhogo? Au kipande kimoja cha mkate kama alivyosema bila kujali kazi ya mtu?
 
Una hoja na isikilizwe maana kadili anavoendelea kutoa mitizamo watu wanazid kuchukulia kawaida itatokea mtu mwenye ushauri sahihi hatosikilizwa.
 
Back
Top Bottom