Unashangaa ya Prof. Senani ya Prof Mpumbafu si walikuwa pale darini wote. Ndiyo sampuli ya ma Prof wetu.Huyu Prof.amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ametetea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.
Prof. huyo wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam alihojiwa kutoa maoni yake baada ya Mh.Mnyika kuelezea mapungufu ya Bajeti hiyo akiwa mkoani Tanga.
Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
Profesa hapa Tanzania alikuwa ni Kighoma Malima tu ila sasa tunaye Assad ambaye ni CAG.Hao wengine hawana tofauti na Maji marefu sema wao wana vyeti tu na hiyo ndio tofauti.Huyu Prof.amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ametetea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.
Prof. huyo wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam alihojiwa kutoa maoni yake baada ya Mh.Mnyika kuelezea mapungufu ya Bajeti hiyo akiwa mkoani Tanga.
Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
wewe unaelewa maoni cha mbowe na mnyika ,tundu lissu maoni ya wengine kwako huwezi elewa uelewa wako mdogoHuyu Prof.amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ametetea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.
Prof. huyo wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam alihojiwa kutoa maoni yake baada ya Mh.Mnyika kuelezea mapungufu ya Bajeti hiyo akiwa mkoani Tanga.
Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
maoni ya profesa wangu huyu nayashangaa, na juzi juzi nilisoma kwenye gazeti kuhusu maoni yake kuhusu utata wa majina ya mkuu wa mkoa wa DSM nilishangaa maoni yake.
hilo ndio tatizo kubwa LA wanasiasa mkuuNimesikia profesa yuko sahihi kabisa Ila usipende kusikia kinachokufurahisha tu...Pendant kusikia vitu vya kweli..Profesa yuko sawa kabisa kiuchumi lakini
Wabongo tunapenda sana kusikia mtu akihojiwa kuhusu suala la kiserekali asiwe upande wa serekali hapo atakua yuko sahihi na watu humu watampongeza sana..Ila akisimamia ukweli professionally lazima atapondwa..tuheshimu professional za watu..Msiseme hayuko sahihi kwa kutokusikia vitu masikio yako yanayotaka kusikia muda wote
We ni me or ke..sijakuelewaMkuu;
Naona huenda unasumbuliwa ni hilo tezi. Huyo anayepinga kweli ni nani hapa bongo?? Yaani weye umemwelewa huyo Profesa Semboje?? Yaani mtu anajishaua ili ajulikane kuwa miongoni mwa waongo wazuri unaona amesema kitu??
Aliulizwa, anaionaje bajeti ijayo, inafaa?? Yeye anatetea upungufu wa inayo malizikia ambayo haikutekelezeka.
Nadhani alitakiwa aeleze wazi kuwa, Kwa kuwa bajeti yetu ni tegemezi hii nayo ni mgogoro kutekelezeka. Alitakiwa achallenge vyanzo vya mapato vifikiriwe upya. Sio kuongeza bei ya soda na sigara tu na kumlimisha kodi maskini anaye nunua vocha ya simu kila mwaka useme utaiendesha nchi kwa pato hilo.
Uchumi unayumba hata kuongeza kilimo hawataki. Upo hapo??
Jibu hoja kwa hoja..Ongea point... usiseme alitakiwa ajibu hivi na hivi Ili iweje akufurahishe wewe?..subiri post zenu za form za form five zinatoka nadhani Mwezi ujao uende shuleWe ni me or ke..sijakuelewa
WEWE BANGI KWELI.......nani alikuambia ukimbie shule na kukubali kutumiwa na kina mbowe kwa mshahara wa viroba???....mwenye akili timamu hawezi kamwe kuleta hoja ya kipuuzi namna hii kupingana na Prof...Huyu Prof.amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ametetea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.
Prof. huyo wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam alihojiwa kutoa maoni yake baada ya Mh.Mnyika kuelezea mapungufu ya Bajeti hiyo akiwa mkoani Tanga.
Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
Assad alinifurahisha juzi alipokuwa anakabidhi ripoti Kwa Mkulu, alieleza waziwazi jinsi Tanesco inavyopata hasara!Profesa hapa Tanzania alikuwa ni Kighoma Malima tu ila sasa tunaye Assad ambaye ni CAG.Hao wengine hawana tofauti na Maji marefu sema wao wana vyeti tu na hiyo ndio tofauti.
Ni sahihi mkuu,lakini pia ni upumbafu kutengeneza bajeti ambayo hamuifuati. Huu ndio ujinga unatufanya tushindwe kuyapata maendeleo kwa wakati. Nikutumbua wote hao.Katika nchi ambayo kila mtu anajifanya ni mchambuzi wa uchumi, kumuelewa Prof ni vigumu sana. Lakini alichosema miradi mingi ya serikali ina hatua, Serikali hutoa pesa kwa awamu kulingana na hatua inayofikiwa, haiwezi ukatoa pesa zote za mradi kwenye hatua moja mf. Upembuzi. Na wafadhiri wanatoa pesa baada ya kukagua utekelezaji wa kila hatua;;
We ni me or ke..sijakuelewa
Unafkr atasema nn wakat anatetea tumbo lake? Anajuaje kama hela zilichelewa kufka? Hela za ndan zimefanya nn? Zote Amenunua ndege? Hovyo kabsa hawa viongoz wetu, unanunua suti wakat shati huna? Muda utaongea nyumbu kabsa! Mtu gani hakoselewi wala kushauliwa? Muda utaongea!