Unashangaa ya Prof. Senani ya Prof Mpumbafu si walikuwa pale darini wote. Ndiyo sampuli ya ma Prof wetu.Huyu Prof.amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ametetea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.
Prof. huyo wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam alihojiwa kutoa maoni yake baada ya Mh.Mnyika kuelezea mapungufu ya Bajeti hiyo akiwa mkoani Tanga.
Mliomsikia mtakuwa mashahidi.