johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,094
- 164,423
- Thread starter
- #61
Inawezekana ni Chadema 🐼Babu PAKA ni nani ..... Maza au CCM ....!!?
Inawezekana ni Chadema 🐼Babu PAKA ni nani ..... Maza au CCM ....!!?
Nzige shamba la bibiKweli kabisa.
Watu wengi mnamsoma Paskali halafu hamuelewi maandishi yake...Paskali tends to write with satire...msome taratibu ukiweka akili yako huru na utamwelewa...mko same page but on different wavelengths!Kutosha alikozungumzia CAG sio kura alimaanisha Amani itatoweka brother pana muda tumia akili yako vizuri kwa vizazi vijavyo maana unatafuta Teuzi kwa njia yeyote ile...
They miss the satire in Paskali's writing.Usipomsoma Paskali between the lines huwezi ukamuelewa !
Jamaa yupo vizuri sana !
Tena very very smart upstairs !!
hadithi ya mchongo.... haina maantiki yaaani tasbih iwe na vichwa vya samaki then panya waamini kuwa oaka amekuwa mwema hali hata samaki.... mbona haina logic. sasa kama amekuwa mwema hali hata samaki vile vichwa kwenye tasbih ni vya nini? hai make sense.yaani mchawi atengeneze nyumba yake vizuri kisha aweke mapambo ya mafuvu ya watoto ....awaalike mwende mkafurahi kuwa sasa ameacha kula nyama za watoto na mnaona amepamba nyumba yake kwa vichwa vya watoto? prof ana msongo wa mawazo. inamuuma mama hajamkumbuka kwenye teuzi......
Unataka Mungu awabariki hawa viongozi wa Serikali wezi,wanafiki,waongowaongo,walafi wanajilimbikizia mali kila kukicha Mwenyezi Mungu hawazi wabariki viongozi wa namna hiyo wasipopata adhabu yao hapa Duniani wataipata adhabu yao kesho motoniMungu zidi kuibariki inchi yangu
Viongozi wake na watu wake
Kila Kilicho kinyume na nchi yangu na viongozi wa serikali, Mungu kiharibu na kukitupilia mbali
Amen
Ndomana Jonas aliamua kukamata 47, tukamlaumu sn, sasa naanza kumuelewa...Ni wasiwasi wake tuu, Watanzania ni watu poa sana, hata uwafanye nini, wao ni "ndio tuu" na "asante", na kila baada ya miaka 5, ni "unachukua, unaweka, waa", kile kile chetu...
Hakuna hata wakati mmoja hapatatosha!, siku zote panatosha, na hata ikitokea zisitoshe kwasababu yoyote, kama ilivyotokea 2015, na itatokea tena 2025, "zisipotosha, zinatosheshwa!".
Tunao print vile vikaratasi ni sisi!
Tunao hesabu ni sisi!
Tunao jumlisha ni sisi!
Na tunaotangaza matokeo ni sisi!.
"zisipotosha, zinatosheshwa!".
P
Daah utakua umemjua leo huyo mzala toka alipotoka kuhojiwa huko Dodoma ameungana nao na anakuja na miguu tofauti kabisa mkuu..Watu wengi mnamsoma Paskali halafu hamuelewi maandishi yake...Paskali tends to write with satire...msome taratibu ukiweka akili yako huru na utamwelewa...mko same page but on different wavelengths!
Hao anaowasifia wenyewe hata wana muda wa kusoma mabandiko yake marefu na malink ya ubashiri wake wa zamani?Huyu dude calls himself mwanasheria sijuhi alikwenda shule ipi? anasifia Tu always hata anaowasifia wameishaona imekuwa monotonous, Can’t he see that? Kama uteuzi utapata tu bro, take easy….PHEW!
Kiukweli humu JF, tuna vichaa wengi sana, ila hawajaanza kuokota makopo, kichaa chako ni kikubwa sana, tena unishukuru, nimekuombea uponyaji, vinginevyo wewe ulibaki kidogo tuu, ungeanza kuokota...Ku....yo pasko-konyo! Kapeleaea mpanya kweli wewe kanyaikanulwa
Wewe Paschal Mayala ni ndumilakuwili na proffesional assasian. SIJUI una jinsia ipi. Acha kuwachanganya watu kwa kujifanyia wewe ni proffesional kwa kila kitu.Wewe ni lichawa likubwa mno. Nimeona upendo wa Mungu ulionikataza kumalizia sentensi ya mwishobaada
Ndumilakuwilicapacity
Kwa wale ambao Kiswahili siyo lugha mama kwao si rahisi kuuelewa mfano alioutumia Professa Assad.CAG mstaafu Prof Assad amewafananisha Viongozi wa sasa na ile hadith ya Babu Paka ambaye alijifanya ni Mwema kumbe ni Ulaghai wa kuwatafuna Panya Kimya Kimya Mmoja baada ya mwingine
Assad anasema Babu Paka alitengeneza Tasbihi kubwa iliyopambwa na vichwa bandia Vya samaki akawa anaichezea chezea mikononi Panya walipomuona wakaamini Babu Paka amekuwa Mwema hali hata samaki
Kumbe Nyuma ya pazia babu Paka alikuwa anakamata Panya Mmoja baada ya mwingine na " kuwatafuna"
Assad ametahadharisha Kuwa Wananchi wanaona kila kinachoendelea na Huko mbele nchi hii hapatatosha
Source: The Chanzo
Dongo gizani
Kweli? Sasa ngoja utaniona kichaa changu!Kiukweli humu JF, tuna vichaa wengi sana, ila hawajaanza kuokota makopo, kichaa chako ni kikubwa sana, tena unishukuru, nimekuombea uponyaji, vinginevyo wewe ulibaki kidogo tuu, ungeanza kuokota...
Pole!.
P
Mkuu ndio ukweli, japo ni mchungu! Nakupa mfano mdogo tu, sasa hivi kunakuwepo na mgao wa umeme wa masaa 24, imagine!We jamaa
Unatukejeli sana
Nlianzia ulipoishia wewe.Elimu Yako ulianzia Chekechea au Memkwa?
Samahani lakini
Issue ni logic. Au huelewi maana ya logic?Si hadithi ?,fasihi!,na ungesikia sungura aliruka akarukaa.. akalimeza Jua,Kisha kukawa Giza, ungesemaje ?
Unafaham maana ya logic? Basi wala usipanic tujibishane kwa hoja. Usitokwe na povu dogo.Uwe unasema na kuhakikisha u.eelewa ulichosoma kuliko kuchangia kitu ambacho hukuelewa. Unajiabisha na kuonekana na low mind. Rudia tena kusoma.na ujipe muda wa kutafakari. Usikurupuke kujibu.